filmov
tv
SARAPHINA (PHINA) AJIUNGA NA ZIIKI MEDIA
Показать описание
PHINA Amejiunga na Ziiki Media, hii ni kampuni inayoongoza kwenye biashara ya usambazaji wa kazi za muziki barani Afrika na India kwa ushirikiano na kampuni kubwa ya muziki duniani Warner Music Group.
Phina amesaini mkataba wa miaka minne ambapo makubaliano yake na Kampuni hiyo yanalenga zaidi kuendeleza kipaji chake, kukuza soko lake la muziki duniani kupitia usambazaji, pamoja na kukuza fursa mbalimbali za biashara ya Muziki.