WATOTO NANE ALIOWAZAA DIAMOND PLATNUMZ MPAKA SASA HAWA APA/LIST YA WATOTO ALIONAO DIAMOND PLATNUMZ

preview_player
Показать описание
asante kwa kuangalia video hii.Kama kuna kitu unapenda kuchangia tafadhari andika maoni yako kwenye koment hapo chini.Ni matumaini yangu kwamba umejifunza kitu ambacho hapo mwanzo ulikuwa hukifahamu sasa ili na wenzako wapate kujua elimu hii mpya tafadhari shea video hii kwa ndugu jamaa na marafiki leo.Na kama ni mara ya kwanza kuangalia video tafadhari SUBSCRIBE channel hii ili usipitwe na kila video mpya inapotoka.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Prince Nillan 🤴 you are so cute and you are loved. From Namibia 🇳🇦

emmaashanghala
Автор

Representing digital""father Abraham

jujueunice
Автор

Diamond umupenda ni mzazi mzuri uhundumia watoto wake wote

linetmuindu
Автор

Hawa mapacha ni wake bila kupimwa...lkn wabongo...na kuna hawa nitarejea pia yupo mmoja...asijifanye hawaoni kithamini wakitajiri tuu...

fatmaomar
Автор

Umaarufu kutoka kwa baba yk...zari alikua na tajiri wala halikuwa akifahamika

fatmaomar
Автор

Wewe ludi shule unatupotezea eb zetu acha wehu

Kelvin-rdpy
Автор

Mwanaume nikujiamini congrats walisema watu wazae wajaze nation Naona unatimiza ahadi yako😋😂😂😂🤗🤗✅

Taniabaha
Автор

Msidanganyane kwa dini ya ki islama Diamond hana mtoto hapo huyo amezini tuu huwezi kua na mtoto mpaka uwe namke wa halali sasa Diamond hajaowa watoto amewapataje?wacheni kupotoshana atakufa kibudu bila ya mtoto wacha awake na kuwasomesha lakini sio watoto wake hao.

hassannyoka
Автор

uyo wa kenya aliye mficha mbona kama kafanana

geluadambepera
Автор

Hatujampata Kutoka Burundi na DRC? Aukurasa bado haujafungwa

cleopatramansa
Автор

Diamond anajua kutega mimba ila alishindwa Kwa Wema t

queenhuu
Автор

Wewe nawe hbr zako za uongo tupu, Dai mwenyewe alishasema Mtoto wa kwanza yuko Mwanza

beatricejoseph