Afande Sele Ft Fami - Bila Marekani ( Official Video )

preview_player
Показать описание
#afande #eachoneteachone #mtazamo #bilamarekani #afande
Selemani Msindi (born 24 May1976), popularly known by his stage name Afande Sele , is a Tanzanian bongo flava recording artist, and a businessman from Morogoro Tanzania
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤❤❤❤❤❤❤Ayaaa Afande seleeee bbaaweee nkoo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪salutee saluteee mzazi wa sanaa

BCM.Bushman
Автор

Mfunue kiundani zaidi mmarekani kisha tuletee tena hapaa🤗🤗🤗

abdillahmbarouk
Автор

This man is too wise ndio mana watu wengi wanampinga kwasababu tunawajinga wengi africa. Africa wake up

gaspermganga
Автор

Afande minakupenda nyimbo zako zinafundisha sana

habibuluyangi
Автор

Akili kubwa sana hii sisi wasikilizaji ndio tatzo tunapenda kusikiliza nyimbo zisizo na maana ila hiii afande mfalme wa kweli kweny mziki wa Tanzania

piusjoseph
Автор

The legend himself. absolutely hit.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

hovsback
Автор

Usikate tamaa mwamba tupo pamoj naamini ipo siku tutashinda

mrpeace
Автор

Uncle Ukweli Mtupu ✊✊ But Ukweli Unauma.

Mbeyaconscious
Автор

Kweri umetuandalia dude kweri kweri umefyatua pamoja mjamaa mzalendo afande sele

jumanassoro
Автор

Natamani niwatumie ata ikulu ya marekanii kwa huu ujumbe wewe ndo legend 💪💪💪💪

yakiniramadhan
Автор

Amazing my ninja! Afande Sele— viva forever, Afande Sele.

jimmykidult
Автор

Ukweli utabikia kua kweli tu hakuna wakuupinga 💪💪

ibrahimnyange
Автор

Ujumbe ni mzito Afande na nyimbo ni kali sana.
Ila, nyimbo imeifunika video.

kingfarm
Автор

Uchungu wa Dunia mzima witnessing ❤Afande wangu wetu uyu makini mbona❤

natureenergies
Автор

Ujai niangusha baba tunda much love
Miziki yakiskuizi haina message kabisa ahsante kwakuja mze mwenzangu

hassanhamisi
Автор

Speaking Truth Brother you are a treasure to Africa

ngqabuthoboazgumede
Автор

Quel art On sent une touche d’un aîné ! Congratulations mkubwa Afande Sele

surnaturellexperience
Автор

Pigo jingine kubwa kwa Babeli.. 🔥 🔥 🔥 Hii ni Armageddon!!!

melki-kabalu
Автор

Hii ni bonge moja la good and a very perfect song and the message has been sent 🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊👊

aloyceiluminata
Автор

Hongera Afande! Mimi ni shabiki wako toka udogoni

aswanmusic
join shbcf.ru