EXCLUSIVE: UMATI WA WATU WAKISUBIRI KABURI KUFUKULIWA.....INASHANGAZA

preview_player
Показать описание
Usisahau kusubscribe channel yetu pia bonyeza kengele upate update za video mpya...
youtube: niteteetv
instagram: @flora_nitetee2
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wasukuma wanakwambia, henaha duu. Lakini mnakwenda huku hamfiki. 😜

nasseralhabsi
Автор

jamani hii kazi inaitaji moyo kweli kweli

glorymungure
Автор

Watching you from kenya nitapataje hyo unga ya mtoto na hyo dawa ya meno

yusufomosh
Автор

Da flora mm mn yngu ni mabov kbsaa hd kul ni shda unauz kias gn

saudarasuly
Автор

Mwandishi kuwa makini.
Kaa waweza kaa nchi kavu.wala kumuona kaa nchi kavu sio hoja!

xaixaiobrigado
Автор

Ni hapo kz miguu da frola 😂🤣🤣🤣🤣ila poleni sana 😢😢😢

Zuuh
Автор

Pole da ndo kuelekeza kwa wasukuma, utaambuwa ni paletu kumbe bado mwendo wa masaa hiv🤣

HappynessLugomambazu-riwt
Автор

Huyo sio samaki kabisa hamjui. Huyo kaa 🦀 crab wanaouwezo wa kuishi kwenye maji na pia wanaishi nchi kavu kwa maana sio baharini wala kwenye mito ya maji. Hamjui akili zenu zipo kwenye ushirikina tuu. Someni cience. Huyo ni miongoni mwa viumbe ambao wanauwezo wa kuishi nchi kavu na kwenye bahari au mito ya maji baridi. Someni msipotoshe wananchi.

mwanaishaabubakar
Автор

Mtihani duniya simama mbele hakwendeki nyuma hakurudiki tuko njia panda

sabihahamadi
Автор

Kuna Mbunge analipwa na hiyo ni Tanzania 😂

leokamil
Автор

Da filo weka basi story nzima nzima kama milard ayo

rakiamohamed
Автор

Kwahio imeifanya tamthilia tufuatilie kila siku??

dorcusshaban