BANDANAH MIQASSA & SPIZZO CPY - TEKE (VISUALIZER)

preview_player
Показать описание
This is BANDANAH AND SPIZZO FIRST DUO PROJECT TOGETHER TITTLED 5 MILES AWAY
WHICH FEATURES 5 TRACKS.
special thanks goes to our producers HAMADOO , ARKISH PRO , BATOZ MUSIC , ADDI BEATS & RASH BEATS
Track 01 #TEKE produced by Hamsdoo on the beat.

Lyrics

Chorus

Vile wanipa raha i swear Unanibamba mah
Mapendo bila karaha jamani tamuuu sanaaa (X2)
Teke teke teke teke teke teke
Nitekenye mpaka nichekee

Verse 1

Nishike sichomoi Umenishika sitoboi uyeeee
Mama washa koroboi sitaki nyongwa nina tai uyeh

Te quiero mama niguse kunako
Nipe nichimbe mtaro nivuje vuje na jasho

giza mama nina karabai baii
nakupa hi me nakusabahi hiii
Masai baba chunga panga boi
Usinichoshe sana mana nitalala hoi

Chorus

Vile wanipa raha i swear Unanibamba mah
Mapendo bila karaha jamani tamuuu sanaaa (X2)
Teke teke teke teke teke teke
Nitekenye mpaka nichekee

Verse 2

Niko booth tho chill nkimaliza niende gucci shop
Unapenda gucci socks hood court hills ama booty short
Tukafanye dhambi madhambi ako nai but thai ziko thailand njoooo
Unipe kiduchu tu kisha tukiwakishe kindukulu
Swagg check body check i just wanna see u make it rain
Yeah u sick come and get bae u know u rockin with the best
One two one two za kibantu bantu
Gawa pasu pasu me nabanjuka tu
Sina umakuu makuu shobo nauchuna tu
Naukileta jau nakutoka nyatu nyatu

Chorus

Vile wanipa raha i swear Unanibamba mah
Mapendo bila karaha jamani tamuuu sanaaa (X2)
Teke teke teke teke teke teke
Nitekenye mpaka nichekee
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Personally I missed the duo ❤❤ playlist updated 🔥🔥🔥🔥

vdjuniquebwouyub
Автор

Finally the duo, the best duo are back!!

jillianakarlizarh
Автор

Mungu mbele, missed u guys ...nawaombea

ArnoldOmondi-qd
Автор

Mimi kama fani wenu napenda kazi zenu sana ebu rudini tena kwenye game jamaa

funky
Автор

Mambo ya tekwelotekwelo nouma sana 🎧💥💥🎶

RickChazy
Автор

Mkitoa nyimbo, concentrate on TikTok.. tafuta watu wa kufanya challenge na nyimbo itaenda. Enzi za kufuata Willy M Tuva ziliisha

anombi