Mirror - Buguruni (Official HQ Audio Song)

preview_player
Показать описание
Listen and share "Buguruni" song by tanzanian star Mirror.

#LISTEN | #LOVE | #SHARE

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nazipenda sana nyimbo zake hasa hii buguruni
By Aidan from zanzibar ❤

gold-hd
Автор

Nilikupa love hukunipaa love ulinioneaaa eeeeh mama weee" dizain flav iv mirror ulid kwenye game maaana unaimba vizur kinoma

goodluckjoseph
Автор

Nimekuja hapa June 2024 kusikiriza hili dude langu Hivi huyu mwamba yupowap Aisee au kaokoka

brownjulius
Автор

Miroo na baraka da prince rudini mna mziki mzuri sa a❤❤❤❤🎉

JumaAmiri-ml
Автор

Kwa mwingine cend ooh! mababy cna iman ona mapend ndo unitexe mchimbaa❤❤❤❤🌹

hassanisamuya
Автор

i just this song the whole a keep it up Mirror utafika mbali wewe inshallah...

wilainemasawe
Автор

Kwani yupo wapi uyu jomba mbona mzinguaji ametuacha na utamu kinyama fanya kurudi jomba aisee

paulolaurent
Автор

Yupo sana boy anamaisha mengine kabisa

MdoeSKiungu
Автор

Kuna Ngoma yako ile bora niende na neno la mwisho niseme naitafuta sana

saidially
Автор

nyimbo naisikilz nikiwa zimbabwe hata nikild mahom huw naisikiliza du bugurun ilitamba san

dottoemanuel
Автор

Naqubali napenda na naelewa kazi zeko qali

malkavoice
Автор

Kaka uko vzr binafsi naelewa kazi zako

zumomilanzi
Автор

Mirror where are you?? U'r music is so sweet ever 🙌 came back brother to the game plz🙊

jgaelharaka
Автор

Og wapi now mbona atuoni ngoma kwa hewa

sahirstimajr
Автор

Aww miss u broh ome back to game Mirro 😪😪

aswilashabani
Автор

Mirror Rudi kwenye game tunakupenda kwa kazi zako

MauKaniki
Автор

Uyu dogo itakua Chuo iliusika Shule ipo kichwan anajua sana kizazi

SMCTRADER-bt
Автор

Hukunipa love...ulinione e eee mama weee!

malkavoice
Автор

Jamani Rudi tena Mirror 2021
Still🔥🔥🔥

annahmamba
Автор

Mirro jmn imepotelea wap namis masong yko jmn ikiwemo hi naioenda 🥰🥰

MarryJacksoni