BIBI HARUSI YAMKUTA MAZITO, NDOA YAVUNJWA KUMBE ANA WATOTO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu naye, Kwa hii Dunia ya kumlilia kiumbe kweli, Dunia tuliopo ni ya kumlilia mungu2

majilachannel
Автор

Haya ndo malipo ya uongo katika mahusiano. Watoto ni baraka, why umfiche mwenzio

SianaMlay
Автор

My dear wewe ni mrembo Sana Tena unarangi mzuri Mungu akupe mume mzuri kitoka huko mataifa yambali. Na maaduyi zakowote wa fyate mikia.

AgnesShuma
Автор

Uyu mama alievaa miwani ni muigizaji hakuna ukwel hapa

bintmrisho
Автор

Yaani huyo kaka munguu amsaidie anaweza akpata mke mungine na asizae munguu hulipa hapahapa duniani

erizabethchanga
Автор

Unampa sifa huyo mwanamme. Mama anakufariji ukiacha achika ujue Mungu amekuepusha nn usifosi unalia iweje unataka watoto wakanyanyasike kwa baba wa kambo. Huyo mwanamme ni mkweli kwa sababu hakuwa tayari kulea kizazi si chake, hivyo ni bora ajiepushe mapema kuliko kuwadanyia ukatili watoto, kumbuka heri lawama kuliko fedheha. Inshallah utapata mume mwingine wala si aibu ni kawaida sana. Siku nyingine uwe muwazi ili mtu ameze au ateme.

ashamahadi
Автор

Weww nae ukome unakaaje na Mt hujamwambia unawatoto

EsterWiliam-tomb
Автор

KWA NINI DADAA HAUKUSEMA UUKWELI, FROM THE START..., ?..YOU DIG YOUR OWN GRAVE ..NA UMEINGIA MWENYEWE, 🎉, ... REPEAT 🙏, DON'T BLEM GOD

SamsonHaranga
Автор

😂Hii story ni ya uongo nyie hata hamshtuki tuu aiseee!!
Huyo dada anaigiza hapo hamna kitu kama true story 😄

goodluckmachangu
Автор

😂😂😂wamemuona mwamba anataka kupewa tuzo nae anakuja na snema sasa uloficha kuwa we mama WA watoto wawili

ZekaniS
Автор

Wanawake wanajua kujiteteta😂😂 Siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto

ole_larusai
Автор

Pole dada usijali utapata mwingine huyo sio ridhiki yako wanaume ndio wLivyo

MankaLema-vo
Автор

Poleee babe mama..ulikosea kutomuweka wazi huyo alietakiwa kuwa mumeo .

drisakamwakitalima
Автор

Unapenda mwanaume kuliko watoto wakooo ukiona una funga ndoa na mwingine si kumaanisha baba watoto ulimwacha, , , , kwa nini usikubali roho safi huyo aende, , , , kwa nini ulificha watoto wako, , , Lea watoto songa mbele

marytitus
Автор

Kwanza kama angalikuja kugundua mbeleni ndoa ingevunjika tu😮😮😮Sasa dada acha uchizi.Hakuna aliyekufa😮😮 acha kumlilia.mwanaume😮😮

gracekagoma
Автор

Mbna udanganye bas kwamba huna watoto????mungu pia hakupenda kitendo ulichokifanya, , , anyway pole sana dadaangu, , , , watoto siku zote n malaika wakubali popote kila wakati, , , , tujifunzeni, , , na sio ety mwanaume n shetani apana, , dada uko na makes.

JoyceNeema-wulu
Автор

Wiki ijayo ndoa mbona kavaa shella Leo mbona kama tamthilia hii😅

EgraWilliam-ooth
Автор

Naona wengi wanalaumu tu mwanaume, ila swala lnaanzia kwa nini alidanganya kipindi chote kuwa hana mtoto ama watoto. Heri kuwa mkweli from the beginning, mtu siyo kama hapendi watoto ama mtoto. Ni kuwa muwazi, mtu unaweza sema kama amekuficha haya ni vipi kama watoto ni zaidi na hawa ndo nlofankiwa wajua, ama pengine kuna mengine hayasemi. Ni kote kote mbaya mwanaume kumficha mdada ni mbaya pia. Ndoa inafaa ianze na misingi ya mema na ya ukweli.

simoncharles
Автор

Ulitakiwa uweke waz una watoto akupenda na wanao umekosea sana, na bora kuna kitu Mungu kaepusha kwani unatakiwa upate mwanaume ataekupenda na wanao dada kwani akikupenda wewe wanao hawapendi unafanyaje, kwa upendo huo ungetelekeza watoto wewe, bora alivyoondoka

asmamjema
Автор

Pole Sana Dada lakin ulifanya makosa kuwaficha watoto wako kisa kuolewa namwanaume mwingine

AngelMkufyaa