filmov
tv
Sounds of Worship - WASTAHILI

Показать описание
Executive Producer: James Kahero
Composer: James Kahero
Music Director/arrangement: Kevin Motema
Lead singer/adlibs: Eugene Blessing
Recorded at mastermade Studio
Audio mixing & mastering: ALNA records
Sound Engineer: Chacha Zach
Video Producer: Director Richie x Leo (ReelHouse)
Wastahili, utukufu na Sifa,
(You’re worthy of glory and praise)
We uketiye kweye kiti cha enzi
(You who sits on the throne)
Ufalme wako, wadumu mi-le-e-le
(Your dominion lasts forever)
Nitalisifu jina lako kuu
(I praise your great name!)
Chorus
Wastahili! Kupokea heshima
(You’re worthy to receive honor)
Twalihimidi! Jina lako milele
(We exalt Your name forever)
Mataifa, Njooni nyote tumpe shangwe
(Ye nations come we celebrate Him)
Kwa kuwa yeye ni mfalme mkuu.
(Because He’s a great King)
Halleluyah, Utukufu ni wako
(Hallelujah the glory is thine)
Pokea sifa, Bwana wa majeshi
(Receive praise mighty King)
Sitaacha, kulisifu jina lako
(I’ll never stop to praise Your name)
Kwa kuwa wewe ni mfalme mkuu.
(Because You’re a great King)
Enda nami, mtetezi wangu
(Advance with me my Redeemer)
Ukiniacha, mimi nitapotea
(Should You leave me I’d be lost)
Usinifiche, uso wako eh-bwa-a-na
(Hide not Your face from me Lord)
Kilio changu kikufikie
(Let my cry reach Your ear)
Ee Mungu, chunguza moyo wangu,
(Oh Lord search my heart)
U-na-yajua, mawazo yangu yote;
(You know all my thoughts)
Uniongoze kwenye njia ya mi-le-le.
(Lead me to the way everlasting)
Niwe chombo cha kukupendeza.
(Let me be a delightful vessel to You)
Baraka zako hazina kipimo
(Your blessings are immeasurable)
Hu-ta-jirisha, na hazina huzuni
(They enrich, adding no sorrow)
Ni wewe tu, ninaye kute-ge-mea
(You’re my only Hope)
Siku zote hata milele.
(All days and forever)
Composer: James Kahero
Music Director/arrangement: Kevin Motema
Lead singer/adlibs: Eugene Blessing
Recorded at mastermade Studio
Audio mixing & mastering: ALNA records
Sound Engineer: Chacha Zach
Video Producer: Director Richie x Leo (ReelHouse)
Wastahili, utukufu na Sifa,
(You’re worthy of glory and praise)
We uketiye kweye kiti cha enzi
(You who sits on the throne)
Ufalme wako, wadumu mi-le-e-le
(Your dominion lasts forever)
Nitalisifu jina lako kuu
(I praise your great name!)
Chorus
Wastahili! Kupokea heshima
(You’re worthy to receive honor)
Twalihimidi! Jina lako milele
(We exalt Your name forever)
Mataifa, Njooni nyote tumpe shangwe
(Ye nations come we celebrate Him)
Kwa kuwa yeye ni mfalme mkuu.
(Because He’s a great King)
Halleluyah, Utukufu ni wako
(Hallelujah the glory is thine)
Pokea sifa, Bwana wa majeshi
(Receive praise mighty King)
Sitaacha, kulisifu jina lako
(I’ll never stop to praise Your name)
Kwa kuwa wewe ni mfalme mkuu.
(Because You’re a great King)
Enda nami, mtetezi wangu
(Advance with me my Redeemer)
Ukiniacha, mimi nitapotea
(Should You leave me I’d be lost)
Usinifiche, uso wako eh-bwa-a-na
(Hide not Your face from me Lord)
Kilio changu kikufikie
(Let my cry reach Your ear)
Ee Mungu, chunguza moyo wangu,
(Oh Lord search my heart)
U-na-yajua, mawazo yangu yote;
(You know all my thoughts)
Uniongoze kwenye njia ya mi-le-le.
(Lead me to the way everlasting)
Niwe chombo cha kukupendeza.
(Let me be a delightful vessel to You)
Baraka zako hazina kipimo
(Your blessings are immeasurable)
Hu-ta-jirisha, na hazina huzuni
(They enrich, adding no sorrow)
Ni wewe tu, ninaye kute-ge-mea
(You’re my only Hope)
Siku zote hata milele.
(All days and forever)
Комментарии