filmov
tv
KUFUNGWA ZIWA VICTORIA, SERIKALI YATOA MSIMAMO
Показать описание
DODOMA: NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti akiwa bungeni jijini Dodoma ametoa msimamo wa serikali juu y mustakabali wa Ziwa Victoria.
Amesema kumekuwa na propaganda nyingi juu ya kufungwa kwa Ziwa Victoria lakini msimamo wa serikali juu ya hilo ni kuwa hawana mpango wa kulifunga ziwa hilo kwa sasa.
Follow us on:
FACEBOOK;
INSTAGRAM;
TWITTER;