Mchunguzi Mama Samia Atawanyoosha kauli yake'Mimi Ndie Rais, Ajitosa Uwezo wa Huyu MAMA Ni Kiongozi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngoja mama awanyoshe washenzi Sana hawa baadhi ya watumishi wa serikali Mama wanyoshe. Mama wanyoshe Miradi iende vizuri

geofreysenka
Автор

kama mnajigundua hamuwezi kufanya kazi nae rais samia si mtoke hapo

isdorypater
Автор

Tuseme Mh. Rais atatuongoza Kwa mafanikio kama walivyofanya Bibi Golda Meir wa Israel aliyeiongoza Israel ku kuyasambaratisha majeshi ya Misri, Syria Kwa pamoja katika vita ya 1973. Hindra Ghandi wa India, Waziri mkuu Bhutto wa Pakstan. Mchambuzi asiseme "atawanyosha" bali "atatunyosha" Hana sababu ya kuwanyoshea wengine vidole.

sylvesterjose
Автор

Kwanini iwe ni kupima? Unafikiri mtu mmoja kuwa na hatima ya nchi ni sahihi? Naona unabariki hayo mamlaka makubwa ya rais ili tuwe ombaomba kwa rais kuwafanyia Watanzania matakwa yao?

eatlawe