#BUNGE LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 17 KIKAO CHA TATU TAREHE 31 OKTOBA, 2024 ASUBUHI.

preview_player
Показать описание
ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO
I. DUA
II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI
III. MASWALI KWA WAZIRI MKUU
IV. MASWALI YA KAWAIDA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaishukuru serikali kwa kipindi kizuri cha bunge leo la 12 kikao cha 17

martinbamanyisa
Автор

Mtihani tunalipia hela yetu matokeo hatuyapati kulingana na muogozo wao wanatumiq njia ya kuomba hela tena ju u ya rushwa kwa watahiniwa wafaulishwe mtihani wakati wazazi wanahagaika kwa shida zetu watu wengjne wanatumia kama fursa ya kipato kwao serikali sikia kilo chetu

martinbamanyisa
Автор

Serikali tunaomba msaada juu ya matokeo ya usali wa leseni kwa wataalmu wa uuguzi na ukunga tuliofanya tarehe 23/8/2024 hadi sasa 30:27 hatujapata kulingana na mugozo wetu matokeo yanatoka ndani ya wiki sita serikali tunaomba msikie kilio chetu baraza hawataki kupokea sm zetu wala kutupa majibu na saivi wamefunga dirisha la usaili wa mitihani mwezi wa kumi na mbili bila kutolewa kwa mtokeo ya watahiniwa serikali tunaba msaada wetu msikie.klilio cha wanyonge hatuna pakusemea serikali ndo msaada wetu

martinbamanyisa
Автор

Wekeni kwanza mwongozo ajira za kujitolea maana ukienda Benki kuu, TRA, TAMISEMI na kwenye wizara zingine unakuta wapo wa kujitolea ila sasa uliza wamepataje hizo nafas utakuta ni ama watoto wa wakubwa ama wenye ndugu huko na mkisema waajiriwe kwanza wale waliojitolea maana yake watoto wa walalahoi hawataajiriwa kwenye hizo nafasi

MuseiMeleki