SIMU ZETU....(Clip one)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪...Tin White mweupe 😅😅😅..., huyo mbwa sasa😅😅

luvboynyamz
Автор

Duuuu wewe ni noma sana,
ila watu tu, ndo hawaja kutambuwa

mustaphaassumani
Автор

Tin una cheza vizuri kutoka Congo pokea🎉❤

BoraKwalava
Автор

😂😂😂😂 nyie washenzi mtauwa watu kwa kuwavunja mbavu, dah! Nimecheka sana

felixadrianbaregu
Автор

Goat kabisa, umeweza Kaka big up saana

KellyIgorNinziza
Автор

ivi huyu jamaa anaitwa nani me simujui jina lake kwa kweliii❤❤❤

PerekaLyuba
Автор

Uyu Dada Yani Nitaper kakutana na Tapel mwenzake

YohanaPetro-xvtp
Автор

Mchekeshaji ni mmoja white nakubar bro🎉🎉🎉🎉🎉

EliaNgoroka
Автор

Endeleza hiii ita kupa manufaa ipo vizuli sana Aidia nzuli sana

AminiBungara-pf
Автор

Kumekucha tena upyaaa oiii iwe tamu kama aladin sasa

mohammedmassoud
Автор

Mweupe wewe niatari sana tupe kazi baba🤭🤭🤭🤭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

mamanPrincesse_pamojaMungu
Автор

UMEZALIWA JUMATATU ASUBUHI SAA TATU KWENYE JUA LA VITAMIN D 😂😂😂😂😂😂

gaddafi
Автор

Kaka mweupe achia kitu hicho haujawah kufeli we ni mkali wao

RamsideMousah
Автор

Oooooh kumbe ndo zako man daah unatisha duuu?❤❤❤

PerekaLyuba
Автор

Hahahahahahahaha haha dah lete city baba

hassanchaka