MV MWANZA YAANZA MAJARIBIO RASMI ZIWA VICTORIA

preview_player
Показать описание
Meli mpya ya Mv Mwanza iliyokuwa inajengwa katika karakarana ya Mwanza kusini, imeanza kufanyiwa majaribio ya kiufundi kuona iwapo injini na mitambo mingine iliyowekwa ndani ya meli hiyo kama inafanyakazi kikamilifu.

Kwa habari zaidi:
Twitter: / nuktatanzania
Facebook: / nuktatanzania
Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV
Рекомендации по теме