Barnaba feat Joel Lwaga - Sayuni {Track No.17}

preview_player
Показать описание
Let me start by saying “LOVE SOUNDS DIFFERENT” is the 5th album ever made by Barnaba and it All reflects on the understanding and experience All together with the whole knowledge of love life from Barnaba himself and the people who surround him in his everyday life. He dedicated his time and money to search for so much inspiration from different angles by Associating with fans, Close people, and Artists so as to come up with Something that will touch everyone’s life and make an impact. Barnaba and his team from High table Sound invest as much time to find affection from all sides as possible to make good music for the fans and make sure not a single one is disappointed so as to make what people are expecting from him and this is proven by the fans themselves, in short, never disappoints.


Listen to Barnaba on Digital Streaming:

Connect Barnaba on Social Media:

+For More Information Booking Barnaba:
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)

©2022 Ziiki Media (PTY) & Barnaba.All rights reserved.

#Barnaba #LoveSoundsDifferent #LSD
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huu wimbo ni best kwenye album aisee ❤️so lovely huchoki kuskiza not bcoz it's gospel 🔥🔥mimi ni VIP🙏

winfridaswila
Автор

Wimbo mzuri sana
Combination ya sauti ni hatari
Wote tuseme alleluia...

vincentmushi
Автор

Ubarikiwe baba kiongozi wamaishayangu. muongoze pia kijana wako kwenye njia zake azidi kubarikiwa nakufanikiwa

issachibangu
Автор

Just found it out on TikTok…and I can’t stop listening to it❤I love it.

sharonjepchumba
Автор

Walitabiri mwisho, ukatangaza mwanzo,
Walipo panga kifo, nikavuma zaidi ya upepo,
Wanauliza siri ni nini?
Wanauliza nguvu ni nini?
Nguvu zangu ni wewe! Na siri yangu ni wewe!!

liliankamau
Автор

Am de first to comment...
It's new sprit...Jah Jah...
Gud voice wid a gud Melody...
Nimeipenda..Kama umependa nipe like 👍

sunderlandmediatz.
Автор

Thank you Jesus .... Asante Yesu wangu....

dee
Автор

Okay huu wimbo hata malaika wameweka repeat mode mbinguni 🤩🤩

helenmasele
Автор

now i can comment Jesus is presented here to God be the glory 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

kingbornb
Автор

Lord you know i can't take it anymore I'm going through hell can you please fix me already, I feel like giving up 🙌

gloriawandete
Автор

joel lwaga's verse hits like a storm.

robin_MMM
Автор

Nimeskia huu wimbo Mara moja kwa radio Jambo nkahisi kua karibu Na mungu, those are kind of gospel we need to hear so touching 😍😍

issachege
Автор

Sayuni best song God bless you Joel lwaga and Barnaba boy

foafirstofallepdiamondplat
Автор

Huu ndyo wimbo wangu bora. Keep it up my all-time vocalist

athumanmgude
Автор

Ujatuacha walokole bhnaa nyimbo imenibaliki sana🥰🥰🥰🥰

danielmchambe
Автор

Umekuwa Maana halisi ya mwanadamu yule anaejuwa kuwa ameumbwa, anaejua kuwa mungu yupo na katika yote afanyayo akatamguliza mungu kwani ndie MUWEZA na muwezeshaji. Sio mbaya naona kitu na sio mbali UMESOGEA.

godfreysanziki
Автор

This song is on repeat mode Kenya here🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

scolawambui
Автор

Zaburi 113:7-8
[7]Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,
Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
He raiseth up the poor out of the dust, and lifteth the needy out of the dunghill;
[8]Amketishe pamoja na wakuu,
Pamoja na wakuu wa watu wake.
That he may set him with princes, even with the princes of his people.

kongs.
Автор

Wallah hii ndio ngomA nlikua natafuta tubarikiwe sote

theevindollar
Автор

Finally I found my vibe from this album I like this one, thanks barnaba for appreciating the existence of God

eliasjoseph