Simba wasikitika,Haji Manara alia machozi.

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

presenter upo cul sana kuwa kama sports presenter uchangamfu muhimu

michaelmariki
Автор

Yalimkuta mwenyekiti wa Yanga zamu yetu kucheeeeka..

jimmyjames
Автор

kama wamepigaaa wafugweee tuu maana viongozi wa Simba na Yanga wamezoeaaa

rajabumwendo
Автор

Pole Manara kulia ni ishara ya mwisho ya kuthibitisha kushindwa Mara nyingi hufanywa na watoto na wanawake, wewe unamaanisha nini au unamlilia Donald Ngoma?

jumamakuri
Автор

yalimkuta mwenyekiti wa yanga mlicheka sn sasa hivi mnalia nyie funga kabisa wasipate dhamana

rahimajuma
Автор

Endelea kulia Haji huku yanga tunacheka

alphoncempiti