MZAMIRU ALIVYOKASIRIKA SIMBA KUFUNGWA GOLI LA 3, ATOKA UWANJANI AKIWA BECHI KABLA MECHI KUISHA...

preview_player
Показать описание
MZAMIRU ALIVYOKASIRIKA SIMBA KUFUNGWA GOLI LA 3, ATOKA UWANJANI AKIWA BECHI KABLA MECHI KUISHA...

BAADA ya klabu ya Simba kufungwa goli la tatu lililowafanya watoke kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, mchezaji Mzamiru Yassin, ameonekana kukasirika na kutoka uwanjani akiwa benchi kabla ya mchezo kuisha.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siamini. Ilikuaje? Mashabiki na wapenzi wa Simba mliipa Simba ushindi kabla ya mechi kuchezwa. Matokeo ndio hayo.
Nilisema mimi matokeo ya mwanzo isiwe sababu ya Simba kujisahau.
Tuwe na uhodari wa kutathmini mchezo kabla ya kuchezwa.
Kelele mitaani leo itakuwa hamna.
Hard luck Simba. I wish you all the best in future games. Most valid point don't under estimate any team.

salimharrasy
Автор

Mwijaku alisema atatembea uchi wa mnyama Simba isipokwenda hatua ya makundi, tuwe na akiba ya maneno kwa kweli.

isdorchuvu
Автор

Tukumbushane ile press ya mwijaku, mwanadada mvaa heleni moja na yule mkubwa wao.
Kabla hujavuka mto usimcheke mamba vinginevyo atakumaliza

maruhe
Автор

unasubut kumwacha mzamiru bench.. kina banda, dancan, sadio bado hawana uzoefu na hawana ile fighting spirit kama hawa wazoefu wa miaka yote..

thadeylyimo
Автор

Kuna mambo lazima tuseme.Kwanza Manula ni kipa mzuri lakini kwenye cross ni mzito kuamuwa kuzicheza.Pili Morrison alikuwa si wakutolewa kwani alikuwa ndio mchezaji pekee aliyeonyesha uhai mbele Tatu Bocco, Kanoute, na Dilunga hawakuwa vizuri. Kulikuwa na haja ya Mzamilu, E.Nyoni na Kagere kuweko mapema.Onyango na Baka naona kuna haja ya kujaribiwa.P.Banda ni mchezaji mzuri sana tatizo bado hajajiamini sana ndani ya club yetu anahitaji muda wa kujengwa kisaikolojia. Simba yetu kwenye league kunahitajika juhudi sana maana timu hucheza kwa nguvu sana, wanapocheza na Simba.Marefa wanashindwa kufanya maamuzi kwa sababu wataonekana wanafanya upendelea.League hii ya kwetu ni ngumu kila timu inaonekana imejipanga.Uongozi kuweni macho dalili ni mbaya.

nassermacatta
Автор

Hatuthamini wachezaji wa nyumbani , mzamiru, kenedy, mkude, hawa wana uwezo mkubwa kuliko hata hao waliosajiliwa, wanaiua falsafa ya Simba ya kuchezea mpira na kushambulia dah.

isdorchuvu
Автор

Simba mm mmachinga mtaniuwa jamaniiii ha

shabansalee
Автор

hakuna siku simba imeuza mashabiki kama mechi yaleo yafaa kuchapa makofi wote mpka kocha

frankjeremia
Автор

Tatizo mna midomo mno kabla ya mechi mmeshajiaminisha mnashinda

matrida.lunyilija
Автор

Kweli kabisa kocha ni maku kabisa na pia wacezaji hawajielewi bhan

josephmanyama
Автор

Waliiona kibonde sasa imepindua meza kibabe

Veni