SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay

preview_player
Показать описание
Binti Emiliana anapitia matatizo baada ya kurogwa na baba yake mzazi, kutokana na anayopitia anaona bora afe kuliko kuishi.
Emmy anahitaji msaada wa mawazo afanye nini ili nae aweze kurejesha furaha yake
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimelia tangu tulipoanza kusikiliza simulizi hii lakini ningependa kukuambia Emmy wakati wa mungu aijulikani lakini wakati utafika mwisho na kukata tamaa hapo ndipo mungu anachukua nafasi yake ya uponyaji naamini ipo siku na utafurahi tena

MourineJebetkibor-vkti
Автор

ivi kweli binadam anaeza kupitia magumu hivi😢😢😢 Sister Emmy hata kufika hpo Ni Mungu endelea kumtumaini Mwenyezi Mungu utapata ukombozi Nasisi tunakuombea Yesu akuku mbuke

JanethMgunya
Автор

Pole sana Emmy na pole sana mtoto mzuri Deo kwa moyo mkuu ulionao Tena wa kipekee. Ushauri wangu Esta na Deo fungeni safari mkiwa na babu na shangazi Eunice mwende hadi kwa baba Emmy na huyo mkewe mkawambie watoe huo uchawi waliomwekea mtoto huyo

speciozamikole
Автор

Ooooyi pole sana dada na yalio kukuta mama wakambo si mama

RoseMbuya-cndg
Автор

Mashaallah dada Emmiey alikua akisali sana....mapastar wamefanya kazi yao huku na huku kwa waganga ila bdo sehemu moja hawajaenda hao nako ni kwa mwalimu wa visomo vya kitabu cha kutokana na imani yao hao sijuwe kama atasingatia mana kama ni ugonjwa wagulika ila kifo tu ndicho kumuamini Allah na mtume wke Mohammed (S.A.W) pili kufungu na kutoa sadaka kwa watoto pekee kulingana na uwezo wako iwe mwezi mara moja au wiki changuo nzuri Zaid ni kitu kusala saa nane usiku ndio mda mzuri zaid kumlilia Allah shida zako kwa hayo machache mengi amuone mwalimu wa visomo dada.

zaynushzeinab
Автор

Anko jay mwenyewe🥰🥰🥰 simulizi tamuu sasa punguza kidogo kilio nasisi huku wasikilizaji tunaliaga anko maana simazi nzitoo😭

shadyasalum
Автор

Nakukubali sana msimuliaji mahiri na maarufu mr.jay mapesa❤, haya twendeni nalo wasikilizaji wenzangu

binthassan
Автор

Emmy mungu atatenda siku itafika utakua sawa 😢😢jipe moyo tu

SalinaSherono
Автор

Emmy naenda hata kwa mposa mbona anaponya watu wengi ucikate tamaa mungu yupo na walio kufanyia hyo mungu anawaona one day wabaki na aibu

FettyMsala
Автор

Pole sana TU Mungu yupo anakuhona usijali dada Mungu anampago na wewe najuwa utapona tu Mungu yupo🙏🙏🙏😥😥

ShaonaNdangalo
Автор

Pole Sana Emiliana kwa ushauri wng usikate tamaa Ipo ck Mungu atakuponya na nakushauri Nenda na kwa kuhani Musa Dar kimara temboni watu wengi wanaombewa wanapona na wewe utapona usivunjike moyo

TeklaGoyayi-uxfu
Автор

Mtangulize mungu mbele waganga Ni waongo mwombe mungu akutakase Na akuzingire kwa damu ya yesu... Na adui zako watapoteana na kila wakikutafuta wakaone Giza na utelezii.

deborahngoliga
Автор

Ndio mnasikianga walevi wanakuwanga watu wazuri na wa upendo kushinda hawa wa kristo wengi.maana unaweza kuwa na stress ukienda club walevi adi wanakukaribisha kwa glass 😢wakristo wanakufukuza ati wewe ni mtu muovi😢😢

godsfavour
Автор

Usiende kwenye maombi tu bila kujifunza neno la Mungu ukiwaunaudhulia ibada Mungu atakufungua tu na kukazana na maombi utapona tu

tudamwasyeba
Автор

Mimi ushuri wagu amtafutea shkhe asumani maicko anapatikana bugruni ruzani tafazairi mungu atamsaidiya asumani wareku

matibayajumah
Автор

Pole sana dada Emy, shauri langu niku weka tu imani yako kwa Yesu atakuponya

NeneteMurumbi
Автор

Shauri yangu, umusame baba yako na mke wake na wandugu wote hawakuweza kuku saidia, na uache waganga wa chenyeji, pia umuombe Mungu musama wa kweri, utie imani Kwa Yesu, kingine watu wataweza kukuombea ila wewe hauna imani, inakupasa kuwa suja Kwa ule unae muamini, diyo uchawi wuko lakini hautashi Yesu, takasa moyo wako ukiwa wakupona umutikie Bwana Yesu ao ukiwa wakufa wende mahali pema . na samahani Kwa ki Swahili kibovu.

SpecioseNshimirimana-dkjg
Автор

With God everything is possible ni vile hujakutana na mtumishi wa mungu mwenye upako wa kiwango cha juu zaidi ya maadui wako.

cynthiamasinzi
Автор

Mungu ndie muweza aliye mponya yule mtu waukoma nawewe utavuka (kina mwanzo kinamwisho

DorcasMuomba-gdsw
Автор

Anko jay unafanya silali na simuliza zako ❤❤❤😮😮😮😮 🇰🇪

RoseMbuya-cndg
welcome to shbcf.ru