SAMSUNG GALAXY S22 ULTRA: Mwonekano Wa Kwanza Note Imerudi Tena!

preview_player
Показать описание
Ee bana hii ni smartphone mpya kutoka Samsung hapa na mzungumzia mnyama mwenyewe, the beast Samsung galaxy s22 Ultra, ili tangazwa na Samsung juzi kati pamoja na galaxy s22 na s22+.

0:00 Galaxy note imekuwa galaxy s22 Ultra.
1:37 Design ya s22 ultra.
2:28 Display.
3:26 S pen ya s22 ultra.
4:14 Camera za s22 ultra.
4:52 Specs zote za s22 ultra.
5:48 Bei ya galaxy s22 ultra.

Social media

#samsung #samsunggalaxys22ultra #s22ultra #maxtechtv
Рекомендации по теме