Ukiona Dalili hizi kwenye unyayo wa Mguu wako Jua ini lako lina Shida - Dr. Hanifa Mbithe

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Shukran mwanangu jazakallahu khaira nimeelewa.doctur

taflesaid
Автор

kwa mara ya kwanza leo nakua wa kwanza asante kwa ujumbe dokta

khamismbarouk
Автор

Mashallah Mashallah Doctor....! Aferin

neattechnologiestz
Автор

Ahsante Dr.

Huyu Dr nimebahatika kukutana nae pale Agha Khan - Dar es salaam.

Alinifanikiwa kumsaidia mke wangu kutatua tatizo lililomsumbua kwa miaka 9.

Ni mtu na nusu,

Mungu akubariki sana Dr Hanifa.

Personally I appreciate you to the extent you can't imagine.

HillaryMoshi-vq
Автор

Mimi miguu yangu hinauma sana visiginoni n a nyayo

HawaaOmar-ih
Автор

Salam Dr na shukran sana kwa maelezo. Vipimo gani muhimu vya kufanya ili kuhakikisha kama unalotatuzo la ini?

aliobeid
Автор

Doctr mim nina ndugu yangu anamwili wakawaida lakini tumbo limeja nahuwa hali chakula kwawakati na hatumi kilevi chochote

BakariMaulidi-rnpj
Автор

Hiyo hali ikitokea kwenye kidole gumba cha mkono kwenye kucha kupasuka mfsno magaga

GladysBaritta
Автор

Mimi nina wek moja Sasa tumbo linakuwa kubwa hata kama sijala kitu sasa kula siwezi tumbo linakuwa kama mzigo

rehmahamishamismkande
Автор

Niliteseka sana na huu ugonjwa nimekunywa dawa hizi nyingi hazikunisaidia gharama nyingi. Ila nashukuru nilipata tiba sahihi nimepona

FestoTall
Автор

Dakitari mimi miguu ilivimba badae chini imekauka nainabadilika rangi kuwa yellow alafu huuma sana pia saa zingine inawasha ama kuwaka moto alafu macho yangu niyellow natumbo nikubwa alafu pia vidole zinafura nakujikuna natokwa navidonda

shylove
join shbcf.ru