Kamusi ft Steve RnB - Full Battle Order [Lyrics]

preview_player
Показать описание
FBO ni wimbo wenye maudhui flani ya kuwaleta pamoja askari na raia wema na kuwakumbusha umuhimu wa kujua thamani yao katika jamii pamoja na kuwakumbuka mashujaa wote waliopo hai na waliopoteza uhai kwaajili ya kuikomboa nchi mikononi mwa wakoloni na kudumisha amani tuliyonayo mpaka hivi leo.
Hivyo basi ukiwa kama shabiki na mdau wa mziki mzuri,endelea kusikiliza kibao hiki bila kusahau ku like,ku comment,ku subscribe pamoja na ku share kwa wengine. Ahsante !
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Full Battle Order (FBO) ni kazi na niuandishi wa kipekee bro Kamusi big up saana na pongezi kwa chorus killer stv RnB 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

mavembamavemba
Автор

Rider man pamoja brother Mungu mbele mafanikio lazma" I'm a soldier"

rabielkaaya
Автор

Motivation Song best to all soldiers out there...

lessomwinyimkuu