YANGA WASHINDWA KESI YA PILI FIFA, WATAKIWA KULIPA MAMILIONI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pesa ndogo Sana YANGA iko nafaranga sahii hakunaga nzala Tena.

simonmalegesi
Автор

Mwanasheria wa yanga afutwe Kaz hayupo vzr kuwashauri yanga kisheria

fadhilmpora
Автор

Mara nyingi team hushindwa dhidi ya mchezaji au kocha kama ambavyo wafanyakazi wengi hushinda dhidi ya waajili wao inapotokea ishu za kufukuzana kazi, JEMEDARI SAIDI aache kujitafutia unaarufu kwa ishu kama hizi!

chusitv
Автор

Jaman wao wanatamba saivi kwamba Wana hela kwanini ifike uko Sasa walip tu Kama nikweli Maisha mengin yasonge

edwinfredrickzakaria
Автор

YANI KWA HASIRA MZUNGU WA WATU KAVAA TAI NYEKUNDU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

salimmalaka
Автор

Daaah mbna htr sana Kwa Wana jangwani poleni yanga

michaeledward
Автор

Yanga anamafanikio ya Kuifunga Simba tu Duniani ila ni kifaranga tu

kamangutv
Автор

Nikweli upo vizuri kwa taarifa ila jitahidi kusoma nyakati za utoaji taarifa kesho yanga wana game tena la Taifa kuiwakilisha nchi ingekuwa vyema ungeituma baada ya game uzalendo Kwanza

lucknash
Автор

Millard jaman mbona hivo...hii taarifa usingeiarifu Leo pls, Kwan kesho tutakuwa kizimbani na alhilal Leo taarifa mishtusho😭

venancephilbert
Автор

IWE JUA IWE MVUA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

joycepima
Автор

Mimi nadhani watu wangeipongeza Yanga Kwa kubeba gharama ya utu wa mwafrika. Kwasababu walichofanya ilikuwa ni kulinda hadhi ya mwafrika baada ya kubezwa na kocha wao. Si vyema kuwabeza Yanga katika hili.

kassimmselem
Автор

Kila la khery mtani kalipe izo pesa za watu

hassanmambomambo
Автор

Pesa kdg sana hiyo, ngoja tumalize kwanza ushindi leo afu tulipe visent vyao

erickmbuya
Автор

Wachambuzi wa m bongo tupeni habari za mpira uwanjani kesi nendeni mahakamani

edsonjeremiah
Автор

Uliyepost jitahidi be critical thinker hata Kama uko upande wa pili tuna mechi siyo kukurupuka think the mood of people please 🙏 Kwa USHAURI kila jambo na wakati wake nyie ndo mnachangia hata timu kufungwa baada ya kujaza watu hofu. Sijapenda

uswegesuper
Автор

Bado kesi ya bumbuli na Nugaziii watafilisika mbwawale

charlesjoseph
Автор

toa matako apo unalopoka lopoka Colo wew

alexwizeboy
Автор

Na huko cuf kasemeni kuna mkono wa simba

zubeirkhamis
Автор

Asipewe kitu nawafungie hayo madirish 3 Kwni kunanini

mohamedswaleh
Автор

Mwamba wakulipe na yakuchelewesha haki yako.

mohamedjeizan