BIFU LA P DIDDY NA 50 CENTS: ‘EX’ WA 50 CENTS ATAJWA, ALIPWA KWA BIASHARA YA NGONO 'WIVU WA MAPENZI'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu P.DiDy anashutuma za ushoga kashafanya mapenzi zaidi ya wanamuziki wasiopungua mia mbili na ni wanaume wote .na p diddy hajawahi kuwa na mtoto wala watoto yeye yupo anachezeana kimba tu na mtu aliyemlipua ni 50 huyo jaz z na kashaliwa na p Diddy

adamally
Автор

Sawa P Diddy ni mkosaji na kama ushahidi upo ...sheria ndio itachukua mkondo wake...hakuna binadamu aliyemkamilifu ...haina haja ya 50 cent kufurahia na kuchochea kuni .. anajitengenezea uadui na weusi wengine na hasa wamarekani, yeye mwenyewe hajui kesho yake...si ajabu baada ya Diddy na yy anafuata...wazungu hawataki wakiona weusi wanakuwa mamilionea, Kanye West awajamalizana nae bado wanamuwinda mpaka adondoke
Jay Z ajichunge sana.

vincentmushi
Автор

Diddy alishawekewa mtego tangu Muda mrefu pale alipoanzisha mahusiano na Cassie! Ninavyofikiri huwenda cassie ndani ya miaka kumi ya mahusiano alikuwa akitekeleza kazi yake kumchunguza diddy pamoja na matendo yake kinyume na haki za binadamu!

njaujustin
Автор

Wabongo mshaanza kudandia hbr na kuongeza yenu

kennethbenjamin