BABA YANGU MLEMAVU (EP 1)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jameni, Mkenya hapa.Jirani yenu nipo kwenye maandamano nipeni like hata moja.

Esquire
Автор

Mkongomani 🇨🇩🇨🇩 wowote ambae yuko umu ebu aniambie nisjikuti mwenyewe, 🤔🇨🇩🇨🇩

JuxOmari
Автор

God job dogo sele brother steve amefanya kazi kubwa mpaka dogo sel akafikia hap alipofika anafanya kazi nzuri dogo sele lkn pongezi nyingi ziend kw brother steve🎉

Abdulaziz-tbgd
Автор

Jamani muna weza fikiri muvi tu ila mwenzenu ndio maisha ninayo yapitia sasa ivi baada ya mimi kupata ajali 😢😢😢

Credokiwaga
Автор

From Uganda, kwakweli inaumiza sana ..hebu tuwe nahofu ya Mungu .
Kuvumiliana kwenye ndoa inalipa sana

malangwandekeja
Автор

From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa mr madevu tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo

hamzaIlunga
Автор

Huyu dogo bray ana kipaji, atakuja kuwa star mkubwa baadae

rehemambilinyi
Автор

Dada kidawa Na kaka madevu 🎉🎉🎉 funzo kubwa Sana Kwa Kwa hii dunia.kazi mufti kabisa Mungu akuongezee maarifa tele 🙏

AugustineLomolen
Автор

Wallah movie Kali sana ila msikawie kutoa episode zinazofata 🙏🙏🙏

MajidSuleiman
Автор

Mwenye Moyo mdogo hastahili kutazama hii coz Ina pain

KulwaDeogratiusKunda
Автор

Nisidanganye nineumia kuangalia hii movie mungu nikinge na balaaa za ulimwengu

BeniadAjuna
Автор

Mtoto SELE Anakipaji bhan muangalie hapo mwishoni

hamisibakari
Автор

Polesana kaka😢😢😢baba sele kazi nzuri mkiwana sele🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

JccjckkvbjgMvfkt
Автор

kazi mzuri sana🎉 TUNASUBIRI MUENDELEZO

AbdallaomaryAli
Автор

japo movie kuweni na huruma bas hat chemb2

narutonaruto
Автор

Wakwanza mm Leo jaman naombeni like Ata 10 😂😂

MohamedIddy-be
Автор

Tupo pamoja família from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👈👈

AnitaVictor-nboh
Автор

Wako wanawake aina hii 😢😢😢nimelia sana

saumbliz
Автор

Hapa ata kama ekta lakini hii ni noma
Na ndo mana wanaume tuna kufa halaka

AbdulMohd-lf
Автор

Stivu fanyeni huyo dogo sele awe na acauti yake anaweza sana🎉🎉

Emili_jr