Ebebé Jamal - Niache (Official Audio)

preview_player
Показать описание
NOW AVAILABLE 🌍WORLD WIDE
Co Prod. By Braxy Beatz & Chimo Beatz

Follow @ebebejamal

Message Ebebé Jamal on WhatsApp.

Visit Website

Download Album
Ebebé Jamal - Zzuanga Boy 2 ( FULL ALBUM 2020 )

Niache

“Niache” 
Brother Naomba niache “Niache”
Niache “Niache” 
Brother Naomba niache “Niache”
Niache “Niache” 
Brother Naomba niache “Niache”
Niache “Niache” 
Aisee Yeah “Niache”

Pisi kali imenielewa ukaniona nimeondoka nayo
Ila hujui kilichotokea brother NIache, “Niache”
Sio lazima usimulie kama uliona inatosha, 
Usinichoshe sinto kuchosha brother niache, “Niache”
Sasa ndio unifokee,
kisa umepiga simu alafu sipokei
Au ume umeweka appointment alafu nikadelay
Na nikiwa busy je? niache yangu nifate yako bro “Niache”
Hawajui Nilivyopania kwenye Njia mimi nina Nia
Sasa kwanini wananizuia Alafu waniache “Niache”
Nikiwa race Mtaani, naangaikia msosi mezani
Usiniingile nitakukwaza brother Niache

Haters wanasema ninajidai
kila ninapotimba pande zao hawafurahi
My feelings na hizi shauzi zipo high
Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie
Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
Nidie..? wakati ninadai na na nazidi kurolll the dice

“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 

Aise Niaje, Aise Niaje
Ona mna maneno yanachoma Zaidi ya miale
Aisee mniache, aise mniache

Nishakanyaga mafuta speed zaidi ya ferari

Wala hamunipati, Bisha munifate

Wanaonilinda wote wanaijua Karate

Mpaka mnipate, brother mjipange

Tagi ninalo Serikali kila Upande

Mguu usawa baada ya mguu upande

Mpira ninao siuachi kama Zidane

Wanangu wanavibegi Vina Vitu Fulani

Na Wote wanatusua aisee labda muwabanie

Haters wanasema ninajidai
kila ninapotimba pande zao hawafurahi
My feelings na hizi shauzi zipo high
Kwa ninavyowasomba somba wanatamani Mnyamwezi nidie
Nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
Nidie..? wakati ninadai na na nazidi kurolll the dice

“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 
“Niache” “Niache” 

All Rights Reserved
Zzuanga Boy ©2021

#Tanzania #universe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

That beat really rocks bro! So as whole song ☠️☠️

kaningoacerp
Автор

Lol so how far can you get I know where you are

angelaragon