MISSION IMPOSSIBLE [7] SEASON 2

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtoto wangu ngwengwe unanifurahisha sanaa... Weka Kopa za ngwengwe km unamkubali

biommy
Автор

Poleni wahanga wa ajali Kariakoo, Mungu akufanyie wepesi, chado nakupa maua yako

AmosSinkala-lxsl
Автор

Amboa tuna angalia MISSION IMPOSIBLE huku tuna majonz ya majanga ya karikoo please like zenu hapa tujuane 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

mohamedlopa
Автор

Anaesoma ujumbe huu mungu ampe afya jema mungu awasaidie wenzetu walokwama 😢kaliakoo watoke salama😢

ShamilahSha
Автор

Movie nzuri, , , , pia tuwaombee marehemu wote wapumzke kwa amani na majeruhi mungu awaponye😢

KhalimaSilas
Автор

Naamin hii ni movie tuu ila nikikutazama vzr sir manyonga kama una kitu kwenye paji la uso wako mungu akuongoze katka njia ilonyooka kama umeona sijda kweny paji la uso wa xaa manyonga weka like apa tujuane😊😊

DeeDan-sjmr
Автор

NGWENGWEE pamban baba gwengwe master 😅😅😅😅tunachek kujarib kusahau ya kariakoo lakn hayasahaulik ni mazito uchung huu daaah MUNGU aendelee kuwapigania ambao bado wapo chin kifusini 😢😢😢

ladysmile
Автор

Naomba mungu yeyote atakae soma hii message naomba mungu umutangulie mambo yake yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

AdamJack-md
Автор

Kama unamkubali mwamba kazi yake aliyo fanya kuleta nyumba ya kina misumari weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim chd🎉🎉🎉🎉ngwengwe unatisha sana

Zebuu-kp
Автор

Ila ngwengwe maua yako baba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

HappyKasema-gm
Автор

Nyumba tunayo na tuna tamba nayo wapi like za ngwengwe 🎉🎉🎉

SaumunyamvulaNyanje
Автор

Tunao chungulia YouTube kila dakika tujuane apa 😂😂😂... Yanii tita uko YouTube tita uko YouTube ila ngwengwe umeweza ...Alafu kwa mzee manyonga naona katika maisha yko y kihalisia hauko ivo mkubwa wetu hope n kazi tu sijda imetupea kidogo uhalisia wako 😊😊😊😊...Tunawapenda sana kutok Kenya 🇰🇪

SaumuNyale-sh
Автор

Mwenyez Mungu awatie nguvu ndg zetu wa kariakoo😢😢

FatumaKishasha-phii
Автор

PRAY FOR TANZANIA PRAY FOR KARIAKOOO MOYO WANGU UNA MAUMIVU MAKUBWA MNOOO TUMEPOTEZA NDUGU ZETU 😢😢😢😢😢MUNGU AWAPE KAULI THABITI NA HATA WALIOKO HOSPITAL MUNGU AWAPE AFYA MRUDI TENA KWENYE MAJUKUM YENU MUNGU BABA SIMAMA NA SISI HILI TATZO NI ZITO PEKEETU HATUWEZI 🙏🙏🙏🙏🙏

gseh
Автор

Nimejikuta napenda kuagalia movie 🎥🎥 kwa sababu ya mtoto ngwengw🎉🎉🎉

Maty-qk
Автор

love from Burundi!nawapenda sana team nzima ya chado masta❤❤❤ mr manyonga atatisha kinoma

zuluRaphaelItangishaka
Автор

jaman dua zenu zinahitajika kwa wahanga kariakoo 😢😢😢😢

MehmetAshraf
Автор

Poleni kwa janga kariakoo na pia poleni kwakumpoteza msanii mwenzenu Fred

EvaKimario-tvmw
Автор

Move yangu pendwa wallah mw/mungu awaongoze katika kazi zenu muendelee kutuletea vitu vizur vyenye mafunzo cheusi nakupenda bure bila kukuona wew sielewi ujue nifikishieni Salam kwa cheusi mangara big up sana🌹🌹

Bintmwafurani
Автор

Yani nyumba tunayo na tuna tamba nayo chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 gwegwe upo vizuli

HadijaAlly-wb