Jinsi Ya Kupika Scones / Skonzi Kwenye Oven

preview_player
Показать описание
Mahitaji
Unga wa Ngano vikombe 8
Sukari kikombe 1 1/2
Hamira vijiko 2 vya chakula
Mayai 3
Butter isiyo na chumvi gram 75
Blueband/ margarine vijiko 2 vya vyakula
Vanilla kijiko 1 Cha chakula
Chumvi kijiko 1 Cha chakula
Maziwa ya uvuguvugu vikombe 21/2
Maziwa ya unga vijiko 6 vya chakula
Cream vijiko 2 vya chakula

#sconesrecipe #scones #easysconesrecipe #sconerecipe #howtobakescones #buttersconesrecipeeasy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo mara ya pili nmejaribu kupika aisee 🙌💕💕💕

hawamalik
Автор

I love what you did.
Please try to translate in English..I don’t understand ur language sweetie.. We speak Arabic and I wish I could understand what you say♥️♥️

mohduaa
Автор

Asante. Naweza kutumia vipimo hivi kwa unga 1kg ? Vikombe 8 vya unga ni sawa na 1kg?

fathiyamuhammad
Автор

Asante kwa kutufunza ntajaribu na Mimi...hapo moto umetumia ni wa juu na chini au wa juu tu??

CECILIALEWERI
Автор

Unaweza kutumia cheese ya cream badala ya blueband

yusrambodze