Jinsi ya kuoka biskuti bila oven - Mapishi rahisi

preview_player
Показать описание
Today i'm making step by step biscuits/Cookies recipe in curry cooker without using oven Which is very easy to make and is exactly like bakery style vanilla biscuits. So let's learn how to make homemade biscuit recipe without oven

INGREDIENTS:
3/4 cup butter
1 cup sugar
1 egg yolk
1 tsp vanilla
1 tbsp milk
1 & 3/4 cup flour
1/2 tsp baking powder
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaan siachi kusema nakupenda Sana umenifunza mengi mno Mungu akubariki Sana dada

veronicagabriel
Автор

Mashallah very nice job Inshallah utabarikiwa katika mapishi yako

skhalilyussuf
Автор

Mapishi yako yamefanya familia zetu kua na furaha Shukran.

mariamissaahmed
Автор

Asante sister kw mapishi yako mazuri mungu akubarik

abdatikhamis
Автор

Ma sha Allah. Ilkua natafuta namna ya kutengeneza cookie dough. Shukran nimefrahi kwa hii video yako

salmaabuuahmed
Автор

Maa shaa Allah, habbibt very nice and shukran

zennaabdullatwif
Автор

I miss speaking Kiswahili and really enjoy listening to you. 💕

maceyari
Автор

Love how u talk wa sound tu mtu wa msa

shayammunir
Автор

Hongera sana dada nimepata ujuzi wako

mariamramadhan
Автор

Asant mpnz mung akubarki, nimejifnza vingi kwako nilikuwa sjui kutngeneza keki now nawezaa

mrsdullakumala
Автор

Thanks it's yummy. God bless you Princess

evalyimo
Автор

Asante my dear kwa mapishi rahisi kama unavyoita Chanel yako ubarikiwe

ukhtysakinaa
Автор

I really like the way u speak Kiswahili fluent mbaka najiuliza mbona mimi siwezi🤷‍♀️

chasydaniela
Автор

My naweza weka sukari aina ya icing sugar??

mariamj
Автор

Maashallah so easy lakini hio pipping bag nitapata wapi

habibaawadh
Автор

Thanks for the simple and easy recipes

peterkamau
Автор

Really yummy and simple.
Take us through the decoration process.

carolinendegwa
Автор

I like it...I wish nwe na namb yko ilii unisaidie zaid

tee_mult
Автор

MashaAllah MashaAllah tabarakah rahman

fatmakiraga
Автор

Naweza tumia sahan ya udogo kuokea?kama cinahiyo

ikhtihsaanomari