filmov
tv
Mtoto Wa Kike
Показать описание
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya msichana, changamoto anazozidi kukumbuna nazo ni nyingi tu,....Shirika la kimataifa la plan linasema katika taarifa yake iliozinduliwa hii leo kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na kuhakikisha vizingiti vinavyomzuia mtoto wa kike kuendelea na masomo vinaondolewa ilmradi apate fursa hiyo. Anne Mawathe na maelezo zaidi.