Jay Melody - Turudiane (Lyrics)

preview_player
Показать описание
🎧Jay Melody - Turudiane (Lyrics)
🔔Turn on notification bell to stay updated with
new uploads!

👉Connect with Jay Melody

……………
🎤Lyrics: Turudiane lyrics by Jay Melody

[Intro]
Onaa nana nana nanaaaah
Anaitwaje uyo jay, jay once again

Nilikukosea, naomba unisamehe
Nishajionea, kwamba Sina lolote
Bila wewe sweziendelea
Naomba twendelee
Yalikuwa matamu Mapenzi yetu, Yalikuwa Super aaah
Aaaaah ah, EX dua gani ulivoisoma
Aah, Kama ndio cha moto nimekiona
Aku siwezi, Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza nimeshindwa kukaza

Mwenzako nataka, Turudiane
Mwenzio nataka, Turudiane
Mwenzako nataka, Turudiane
Mwenzio nataka, Turudiane

Uuh nana nanana ooh
Weeh, Saa Sita saa Saba usiku, nitakupigia na kitu
Nawe pokea japo tu, nikuongeleshe kakitu
Uko inje kila mtu wa mtu
Nishakuwa single my siku
Basi nielewa kiduchu, tumalize hili bifu

Nimeshindwa kumove on
Nimeshindwa kumove on
Hata siwezi, Kumove on
Wanawezaje Kumove on

EX dua gani ulivoisoma
Aah, Kama ndio cha moto nimekiona
Aku siwezi, Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza nimeshindwa kukaza
Mwenzako nataka, Turudiane
Mwenzio nataka, Turudiane
Mwenzako nataka, Turudiane
Mwenzio nataka, Turudiane

[Outro]
Once again
Mwenzio nataka Turudiane

Tags
Jay Melody new song
Jay Melody wimbo mpya
Turudiane by Jay Melody
Jay Melody Songs
Jay Melody Turudiane lyrics
Turudiane lyrics by Jay Melody
Tanzanian latest music
Turudiane Jay Melody
Tanzanian music

#JayMelody #Turudiane #lyrics #music #newmusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Una maoni gani kuhusu wimbo huu? Shiriki mawazo yako hapa chini 💬

TheLyricHome-MD
Автор

Nimependa Sana uhu wimbo akuna kama jaymelodi Una Isia Kali by chibu sanga

KirsnmurariGupta
Автор

Kiukweliwimbohuu niwimbo wenyehisiakali kwangu ukovizur jay❤❤❤

EdnaTobias-en
Автор

❤❤❤❤ jay ur so Romantic endelea kukuza kipaji chako I love you

MargahClarissa
Автор

Omg you're killing me bana endelea ivo jay melody i love your songs ❤❤❤❤❤

Behril-pb
Автор

Jay you are doing a good job love u ❤❤❤

VeronicaNyokabi-zq