filmov
tv
MORNING TRUMPET: Namna benki zinavyowezeshwa ili ziwasaidie wananchi kukopa nyumba. 22/01/2020
Показать описание
Makazi ya kudumu imekuwa ni moja ya changamoto zinazowakabili watu wengi hususani kwenye miji inayoendelea.
Kutokana na hilo taasisi nyingi za fedha zimekuwa zikitoa mikopo ya nyumba kwa wananchi ili waweze kupata makazi ya kudumu lakini changamoto ya ufupi wa muda wa marejesho ya mkopo imekuwa ni changamoto nyingine kwa wakopaji.
Je, benki zikiwezeshwa kupitia mikopo ya muda mrefu zitaweza kuwakopesha wananchi mikopo ya muda mrefu na kuwawezesha kupata makazi ya kudumu?
Ungana na Jamal Hashim akiwa na Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Taasisi ya TMRC, Oswald Urassa kutoka kwenye Morning Trumpet ili kufahamu kwa undani zaidi.