Eugene Wamalwa: Naibu Rais ni mnafiki

preview_player
Показать описание
Waziri wa ulinzi Eugene Wamalwa sasa anasema ni unafiki kwa Naibu Rais kuwadhiaki na kuwazomea mawaziri wa serikali wanaofanya kampeni.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Raila tosha Azimio tosha Karua tosha Azimio hoiyeeee

imaniwambui
Автор

Ruto is the biggest hypocrite kenya has ever seen. But remember what is good for the goose is also good for the gander

danrasta
Автор

Ndio hivyo kabisaa kabisaa Muheshimiwa ruto akate miti surgoi wamalwa ni wetu

charlesrachier
Автор

Ruto Ako ivio kigeu geu kama kinyonga Kwanza 2013 na 2017 alisema akuna wizi ya kura iliibiwa na sai ana sema lb wako na njama ya kuiba Akaenda ng'ambo kuomba wazingu wakuje kisimamia kura na iyo wakati baba alipo sema ivio Alikata eti kenya ni inji iko huru so ni kigeu geu pole kwake

salomeomashibo
Автор

Eugene Eunice wamalwa a biggest hypocrite and sycophant of our time kuja Trans Nzoia omba kiti kama wewe ni mwanaume.

victorkoech
Автор

Kura yako peke haisadi matumbo yanawaka moto mulijitapa kuwa ruto hatapewa kibali leo

mwanamisimatini
Автор

Uko na akili sana ukuwe wa kwanza kujitokesa mjinga sana rutto sio liki yako wewe fanyia kazi wakenya uliajiriwa na rutto,

willymutai