HARMONIZE ATHIBITISHA KUMUOA POSHY, AMUITA DIAMOND APANDE TRENI YA UMEME, AKWEPA KUJIBU HILI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ayo izi ndo abari tunazotaka za akina konde clam vevo n.k❤❤❤❤❤❤❤

AllyBabu-krlg
Автор

Jamaa anavoongea yupo serious kama kweli vile 😂😂

samshelembi
Автор

Mondi yupo bizee kufungua njia wako kwa stareee watakuja kupita hizo njia wakimtusi

esikingamrperfume
Автор

Kwenye caption mnaandika kitu kingine mtu ukifungua kuangalia unakutana na kitu kingine kbs, huu ni usenge

HassanBakari-gl
Автор

huyo sio mtoto wa shekhe...ni mtoto wa mtu anayependa ibada😊;;mtoto wa shekh ni shekh

HASSANBAKARI-qc
Автор

Huyu jamaa bado sana kwenye Game cdhan kama ana ushindan wwote! Hafik level zile n bas tu bando za bongo mseleleko.

erickmuli
Автор

Huyo aliyeongea mwishoni hapo ndo mwenye akili

mbwizax
Автор

Ila arusi nyingi za wasanii uvunjika mapema, hazidumu muda mwingi, labda kwa ilo pisi mtatulizana.

lunangabenjamin
Автор

Mhhh.huyu muhuni tuu harmonize, mwisilamu gani wewe acha kujificha kwenye kivuli Cha dini .unaishi naye mnatiana alafu eti dini

ericfelician
Автор

We kinata mc wewe, uko na masifa na posh wako

jeremiahcharles
Автор

Milad skuiz unafeli hiz habar usituletee ww umedevelep usijifananishe na kina rick media unafeli tupe habar muhim

hudhaimarajab