MAJIBU YA MWANASHERIA WA YANGA JUU YA FEISAL ALIPOTOKA TFF

preview_player
Показать описание
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sinema tu iyooo .... msituumize vichwa apo panaandaliwa mazingira kila m2 apate fungu maisha yaende ... hicho kikao kwa jina FUPI NI MNADAA ...

1. Wakuu yanga wapate fungu
2. Tff wapate mgao
3. Azam akaendeleze biashara bila HASARA KUBWAA

Hakuna jengine na FEI NAE AZIDI KUWADANGANYA VIGORI VYETU HUKU MAANA KILA MMOJA NATAKA KUOLEWA NA FEI

Nasema kwa DATA UKIPINGA TOKA TAKWIIMU HUNA KAA KIMYAA

ابوأزهدالليثي
Автор

Naona hukumuelewa. Alichosema yeye ni wazi.Usimlishe maneno ambayo hajayasema. Huyu mwanasheria ni fasaha sana na anajuwa anachokisema
Hongera mwanasheria.

ba_yu
Автор

Mwacheni aende jamani haina aja ya mlolongo, kwani kazaliwa na yanga, alishasema kazaliwa bongo bahati mbaya hiyo ni kazarau mpaka wazazi wake bado hajayajua maisha atajifunza ila asimtukane mamba kabla hajavuka bahari.

isacklyanga
Автор

Mshituko nn acha aende akatafute maisha watakuja wengine

independent
Автор

Sio kumng'ang'ania aondoke kwa Utaratibu mbona kama hamjui Soka jaman, huwez kulazimisha ila anafundishwa siku nyingine akitaja kuhama nn afanye acha uboya

hamzaeliudy
Автор

Yaaan waandishi mjifunze sheria mbona masuali yenu mnalazimisha sana KUWENI WAVUMILIVU HIII 😡😡😡

sniper
Автор

Anasema yy ni mwanasheria wa yanga pia ni mwanachama wa TFF iyo kesi sijui itaamliwa vp

khamisrubea
Автор

Sasa kung'ang'ania mtu ndio nini mtu ameshaghairi kuwa na nyie mnalazimisha abaki, mtu akivunja mkataba c hurejesha fedha alodaiwa akilip c anandoka sasa kesi hapo ya nini. Hii Tz kuzongana ndio system yake. Mtu akionekan anataka kuinuka kimaisha wapo watamshusha

AbdillahSOthman
Автор

Mwanasheria wa young Africa yupo .makini sn

exaverykalinga
Автор

Amejibu vema yeye ni lawyer sio mwamuzi

frankmlele
Автор

Mwacheni aende jamani haina aja ya mlolongo, kwani kazaliwa na yanga, alishasema kazaliwa bongo bahati mbaya hiyo ni kazarau mpaka wazazi wake bado hajayajua maisha atajifunza ila asimtukane mamba kabla hajavuka bahari.

isacklyanga