'PELEKA MOTO' ya BADDEST ILIVYOLETA VAIBU USIKU FIESTA DAR, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA...

preview_player
Показать описание
'PELEKA MOTO' ya BADDEST ILIVYOLETA VAIBU USIKU FIESTA DAR, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA...

TAMASHA kubwa la burudani Tanzania, Fiesta limefanyika usiku wa Disemba 03, 2022 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es saalam ambapo wasanii kibao wamekinukisha jukwaani kama Rayvanny, Marioo, Juma Nature, Ney wa Mitego, Whozu, Stamina na wengie kibao...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме