Diamond Amuelezea Hamisa Mobeto na Mtoto Wake Mahakamani

preview_player
Показать описание
Diamond amesema mtoto huyo ni wake hilo halina mjadala hivyo ni lazima ampe matunzo bora ingawa alisema awali Mobeto alikuwa akishawishiwa na baadhi ya watu amkomoe kupitia mtoto huyo ingawa hilo sasa limewekwa sawa. "Nitamlea mwanangu" Alimaliza kusema Diamond.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

You are so brilliant to deal with the media big up

kiduafrancis
Автор

I appreciate that nice sound Dai🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

alimatambwe
Автор

Ni bora kumujali mwanao kwa uzuri diamond huwezi jua ya kesho.Mwanao mulee kama bado unauwezo na mungu atamujalia

sheilanafula
Автор

That is gud that you guys will habe time for that baby am really happy God bless both🤗

vavaofficial
Автор

Safi sna Diamond ayo ni mmbo ya kifamilia leeni mtoto wnu maneno ya watu yanabomoa

ruqaiyahali
Автор

Watu wajuwe ili hiweje jamanii nyie watz atuwawezii kabisaa hata elfu kumi tuu hata kuwa mtoto jamanii💞💞💞

tausak
Автор

Watu wamezalishwa na wana watoto wala wanaume hawahudumii watt kumbe kuzaa na msanii kuna faida haya jamani wanawake mchaguwe watu wakuzaa nao mpate matunzo hamisa mjanja sana hatafuti kazi ya kufanya akaoata pesa yeye kazi yake kutafta mabwana wenye hela na kuzaa nao ila kuna siku nawe utapatikana endelea tu na mchezo wako mchafu

rukayaali
Автор

Huyu mtangazaji anasema hamisa alitaka million kumi kwa mwezi lini alisema hayo? Ana uhakika?

umydaddy
Автор

Umetumia busara sana, mambo yenu ya kifamilia

mymunakudura
Автор

Wee mtangazaji ulikuwepo wakati anatamka hiyo milion 10 au mnakuza mambo waacheni walee mtoto wao msikoleze moto

jamillahmansoory
Автор

Lazima uAngalie mtoto wacheza Na mkono washeria ww

ayshamahariq
Автор

jama ni izi midia some time ziinaleta ugombanishi kiasi walichokubaliana chamatumizi nyie cha nn? hata kama elfu moja haiwahusu mladi mama karidhika mbona nyie hamsemi bajeti zenu hamsikii raha watu wakielewana haya pigeni poo

rehemamrisho
Автор

wambea wengi baba pambana na familia yako

neemakabona
Автор

Yaani mtu kua yeye ni star anaperekwa speed kulea mtoto yaarabiii nasi twarea pekee some men will never be good with them . agents from hell

TabithaLydia
Автор

Damondi safi kabisa umemukomesha hamisa

nusretkoptekin
Автор

hyu mobeto kamic pesa za mond ili akale nayo bata tyu

hocymbesere