MWENYEKITI WETU

preview_player
Показать описание
#kicheche #lambalamba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😂😂😂ila kicheche unajua sana, mbwa wewe na Migadishu au nyampala😅😅😅 Mbwa nyampala

estaraberd
Автор

Kicheche never disappoint 😂😂😂 nipewe likes zangu ... nawakilisha mombasa Kenya 😂😂

simonchari
Автор

Mbwa kicheche wewe ni mbwa kazi mzuri sana nanhongera sana

khamiswapemba
Автор

Mimi siitaji like uki like unajipendekeza
Niite Steven feki

alka-bksg
Автор

Kicheche huna akili pumbavu 😂😂 komedian no 1 tz kwa aasa

dawayao
Автор

Mbwa mwenyekiti 😂😂😂😂Safi sana kicheche na tem yako mzima mupo vizul sana nawakubali😂😂😂😢😢

indexchitanda
Автор

For live in Congo 🔥 drc kicheche nakupenda sana kutoka congo for live

josephsimba
Автор

Aah umeanza kutupa maudhui mazuri yakiuraia na uongoz aseee. Hongera

drsumatz
Автор

Kicheche is a best, je suis de la RD 🇨🇩 mais fan de ce tanzanien, na mu kubali sana

ArthurBujiriri
Автор

Kalime ufuta wako polepole achana na sisi😂😂😂😂

kekiplusandonly
Автор

Leo nimekuwa wa kwanza nipeni zangu hizo😂😂

endrewnicolaus
Автор

Kicheche kumbafu zangu😜😜much love from Kenya

metrineokola
Автор

❤❤❤❤❤❤❤
Ila kicheche aise unajua mwamba😂😂😂😂😂😂😂😂

yahmtv
Автор

Gostei idea do lider kicheche eu xto pedir like

HomemCostante-oroy
Автор

Tulikumiss Kweny Kaz mpya kicheche ...ila unachelewa kutupa Raha wenzako jaman 🥹
Kiukweli nilikuwa na makasiriko ila umejuwa kunifrahisha mbwa wewe umetisha sana🤸🙏❤️‍🔥 @kicheche

givenrichard
Автор

Kicheche amehonga vailet kumtamgaza mshindini😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwenyekiti hajapewa cheti kazi kashaanza😂😂😂

shariffbruno
Автор

nakuona mara ya kwanza. very talented. high creativity

nicholasnjoroge-ghne
Автор

Napenda Sana ujeshi wa Kicheche umbwa Mimi😅😅😅😅😅😅 Napenda iyo sana

amotv-kisii
Автор

Mwenye kiti nae ni kama mwehu thu... Umemdhalilisha sana mwenziwo

AcizaJustin-ud
Автор

pumbavuzake mwenyekiti 😊mwi mwi mwiiiziii

SavantKheedy