MUTRA AFUNGUKA 'Sijawahi Kutongoza, inatokeaga tu Napata Mpenzi'

preview_player
Показать описание
MUTRA AFUNGUKA "Sijawahi Kutongoza, inatokeaga tu Napata Mpenzi"

Muigizaji wa filamu nchini, Mutra1, amefunguka kuwa katika maisha yake hajawahi kumtongoza mwanamke yeyote ila wapenzi wake wote anawapataga kibahati bahati inatokea tu wanazama kwenye dimbwi la mahaba.

Mutra ambaye kwa sasa anang'ara kupitia tamhilia ya Huba na filamu yake ya Pete amesema mbali na uigizaji amejikita kwenye biashara ya kuuza kuku ambayo kwa kiasi kikubwa inamuingizia kipato.

#MUTRA1

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Walai Leo nimeota pete sana Pete kipindi cha mizimu imenijia ndotoni....ALLAH Awaongoze

sizmariah
Автор

Mmmhh handsome had so pow jmn 😀😀kwl mungu fundi kwakwl🙃🙃🙌🙌🙌

queengee
Автор

I respect you, bro! You look so manful.Bravo!!!

ramadhanihudhaifani
Автор

mashallaha yaan kama mwarabu vile jasri we hundsam boy.

mamalaozphilemon.
Автор

Mahandsome boy kama mimi mpo wapi like kama zote dondosheni

jahlmartine
Автор

Duu kaka mzuri huyu ....akiwa mhuni anaweza kumiliki wadada wazuri wote

ednamtulo
Автор

Kwanza naomba samahani maana nimekuhukumu kutokana na kichwa cha habari safi sana kijana tuko pamoja mashabiki wako

safiakhamiss
Автор

sipati picha km diamond angekuwa handsome km huyu kaka, 🤔jiulize na ww dunia ingekuaje?

qulthumameir
Автор

Mara yingi nakukubali Bro kwenye tamthilia

bijumakassim
Автор

Mim ndio naipenda saaaana yan wameipatia saaana

zaharasayyid
Автор

Kweli, nimependa hata mnapotumia kiswahili sanifu, hamchanganyi na kiingereza km tamthilia za kitanzania, nakukubali

zuleykhakitalima
Автор

Wakwanza kama usipo like wewe mke wangu

hamismalimungu
Автор

Uyu nae ana akili kwani kutogozwa ndo nini wakati una ela maskini

sylviemutwale
Автор

Jamani kuna wakaka wanatukosha roho mmmh

rahmakhassani
Автор

Mtangazaji unacodemixing nd nn ss ongea lugha Moja

consomaslani
Автор

sifa yako nikupe handsome good looking ila kwenye maswala ya kutongoza umetudanganya hapo maana ww umeeumbwa kuna unowapenda ww lazima utongeze tu ww nani?

fatmaali