#EXLUSUVE: MO DEWJI - ''KUNA VIONGOZI WANAFIKI, HANS POPPE ALIKUWA MSAADA KWANGU na SIMBA'' |PART 5

preview_player
Показать описание
#EXLUSUVE: MO DEWJI - ''KUNA VIONGOZI WANAFIKI, HANS POPPE ALIKUWA MSAADA KWANGU na SIMBA'' |PART 5

Hii ni sehemu ya tano ya EXCLUSIVE ya Saleh Jembe na Mo Dewji, ambapo mambo mengi yameongelewa ikiwemo akimkumbuka Hanspope na amezungumzia rushwa katika mpira wa miguu..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama wazazi wake mo asinge aso 😊ujanan mo angekuwepo lindi street anaendesha maiskel

PedadMiyombo-pcgc
Автор

Daaah!! Kiongoz wetu MO, mbona umekuwa mnyonge sana aisee!! Niwasihi sana wanaokukwamisha wajirekebishe sana.

HeryDiguza-dzcl
Автор

Pumzika kwa Amani hans poope. Tutakukumbuka daima sisi mashabiki wa simba

brunotarimo
Автор

Kweli kabisa tutamkumbuka daima mzee wetu kwa kweli, mimi naona kama utopolo walimuuwa

vumiliachacha
Автор

Boss usajili tusifeli tena nenda sokon mwenyewe

godfreysilayo
Автор

Mfano kapama anacheza no nyingi y asijengwe?

thomaskitemi
Автор

Masawali ya kipuuzi tupu swaleh unatetemeka nn sasa mpk unauliza upuuzi mtupu daah

masoudkipara
Автор

MO, hii modewji foundation unahusikana nayo? Wanatutangazia mikopo, nimelipa Hela za AKIBA na account LAKINI sijapewa mkopo kama Kuna utapeli ingilia kati kunusuru jina.

didimusirakoko
Автор

BOSS KWANINI USITAFUTE WATU MALUMU KANIABA YA KUFANYA USAJIRI

hamidudigogo
Автор

Mo pale shughulikia fitina zawazawa wachezaji 2anabebwa Kwa kujuana, pia waache misumari.mfano ya Osama asijengwe? Anacheza no nyingi, y otara siku zingine acheze KIUNGO mkabaji hasa kujilinda, anakili ya mpira, pia phiri azoezwe kucheza arufi ktk kiwango chake.

thomaskitemi
Автор

Interviewer yuko very Poor. Ukikutana na Mo unatakiwa kuuliza maswali ya kimkakati sana, Jamaa kauliza maswali rahisi tu, softballs

jerrybasaya