EXCLUSIVE:MUME MTARAJIWA WA WOLPER/AFUNGUKA BAADA YA KUMVALISHA PETE Wolper/WAMBEA HATUWAPI NAFASI

preview_player
Показать описание
ALIYEMVALISHA PETE Mwigizaji Jackline Wolper amesema muda si mrefu watafunga ndoa watu wanaodhani ni kiki wasubiri wajionee wenyewe.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

He is handsome, hope is beautiful in inside too God bless your union

nancymbogo
Автор

Jackie huyu ndio mume bana God protect your plans. ❤️❤️❤️❤️🙏

victoriadaizy
Автор

MUNGU awatangulie watimize malengo yao awaokoe na wenye hila mbaya🙏🙏🙏

janemimi
Автор

Jacky my girl so proud of u and praying for u

jeyshillyjack
Автор

Mi nawaombea tuu jamn iwe ya kheri mtulie mungu awatangulie

khadijahomankweliyamjahaya
Автор

Am so happy for you Jacky. Lots of love from 254. May the good Lord go ahead of you

sheila
Автор

I am so happy to hear this my girl 💖❤💕❤😍

shakonina
Автор

Congratulations may Allah bless your union I will visit your shop Inshallah from 254

kulthumagency
Автор

Hongereni Sana Rashid na Jack, 🤣🤣🤣 Muacheni arembue Jamani Kapata Barafu Ya Moyo Wake.

mwanahalimamwachili
Автор

Jacky my ghal, mob love all the way from 254🇰🇪❤️ God bless

memocheps
Автор

Nakupenda Sana Jacky . ..am so happy for you congratulation.

tajirjuma
Автор

mashallah 😍 akutngulie n akupe her y maish yenu ila dada Jack kw sas jitambue ujue kuwa weee sas ni mama mtarajiwa w watoto uitwe mama furan n siyo unitwe dad hapan jitambue tu nkupnda bure from Dubai karibu tu😉 wee ni mrembo san san tu n mwny heshima sana

lucylucy
Автор

Congratulations 🎊🎉🎈🍾 wolper am sooo happy for her ❤️♥️♥️❤️❤️

pichunakichuna
Автор

Mm nakupenda Sana jack wangu mpambanaji nakutakia Kila la kheri Kila hatua Dua

mariamkolokoni
Автор

Asante nimefurah nakuombeeni dua sana dada jak

عباسعباس-شهت
Автор

Jamaa ako real kama mkenya vile, lkn tatizo kwa bibi, Mungu Amsaidie aachane na u slayqueen na mitandao

mungamichael
Автор

Mume utamjua tuu Hata Kwa muonekano, hongera sana Jack, Huyo ndo Mume Sasa, Siyo Wale wavaa mapensi chini Ya matako, mala wameweka rangi nywele, Ila Hili likaka

waukweelinikkon
Автор

MashAllah congratulations brother ❤️❤️

HakishHakish
Автор

Ubaya wa ma celebs wa kitanzania wanapenda kiki so mi siamini mpaka nione vedio ya harusi

faizamohamed
Автор

In shaaallah Jack na broo Rashid mungu awajalie mufuke ssalama kwenye ndoa yenu

ismaillegolas
join shbcf.ru