Ni Salama Rohoni Mwangu - Tenzi za rohoni lyrics

preview_player
Показать описание
#salama #salamarohoni #trending #new #tenzizarohoni #rohoni #tenzi #lyrics #lyricsvideo #gospelmusic #lyricscaptain #gospellyrics #new #trending

Ni Salama Rohoni Mwangu - Dinu Zeno
Tenzi za Rohoni No 23 (It is well with my soul)

Wimbo huu ulitungwa na mwanasheria mmoja mkristo aliyeitwa Horatio Spafford, alitunga wimbo huu kutokana na mambo mazito aliyoyapitia katika maisha yake, Matatizo yake yalianza kwa kufiwa na mtoto wake wa pekee wa kiume aliyekuwa na miaka minne, hiyo ilikuwa ni mwaka 1870

Muda mfupi baadaye (mwaka 1871) moto mkubwa uliozuka huko Chicago Marekani mjini kwake, ukaharibu mali zake nyingi ukizingatia alikuwa ni mwanasheria aliyekuwa amefanikiwa sana. Hilo likafuatana na biashara zake pia kuporomoka kutokana na anguko la uchumi lililotokea mwaka 1873, Hivyo ikambidi apange safari ya kwenda Ulaya pamoja na familia yake, Lakini aliahirisha safari kwa ajili ya kuweka mambo yake ya vibiashara vizuri yaliyokuwa yameathiriwa na moto, hivyo ikambidi msafirishe kwanz mkewe na mabinti zake wanne,akiahidi kuwa atawafuta baadaye.

Lakini Meli ilipokuwa inakatisha bahari ya atlantiki, ilizama ghafla kwa kugongana na meli nyingine na mabinti zake wote wanne wakafariki kwenye ajali hiyo akasalimika mke wake tu, akiwa kule Marekani alipokea ujumbe wa telegrafu kutoka kwa mke wake unaosema “Nimepona peke yangu” ndipo Spafford akaondoka kumfuata mkewe, na huko huko akauandika wimbo huu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉WANGAPI TUKO HAPA TUSEME MAMBO YOTE NI MKONO WA MUNGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤BARIKIWA MAMA ROSE

danamukoa
Автор

Very nice, Huu mwaka ni Mungu tu, Amen.

delphinenyabuto
Автор

Kal sanaaa hakika inafariji sanaaa kama upo hapa 2024 tujuane

EliasJohn-lcnu
Автор

Nimelia Mungu vya kutosha kama maombi yangu hayatoshi angalia tu hitaji la moyo wangu baba🙏🙏

Maaah-fi
Автор

Amen . ..waiting for God to answer all my prayers

maryibirithi
Автор

Huu wimbo ukimbwa nabarikiwa sana rohoni

FlorenceMochama
Автор

Dad and mum its been 24yrs and 23yrs since you both left..you left us even before we knew what life is ...been thru alot but we thank God...May your souls continue resting in perfect peace....till we meet again to part no more😢😢

AnyterNatasha-ivxz
Автор

Nimebaki na Mungu tu it's been very very hard but I have God. 🙏🏾🙏🏾

joylinda
Автор

Hakika ni salama rohoni mwangu kristo nisaidie kuhepukana na majaribu na mateso, Amina

RaelNdwale
Автор

I finnally believe in God.. am broken what i only want is christ in my life.. be blessed my fellow brothers and sisters.😢😢

HENRYONKANGI-tdwx
Автор

For us who listen to it every morning as our daily prayer let's gather here

RosalineThai
Автор

mungu ni mwema katika maisha yangu niyeye anafanya napumua kila siku aja apewe sifa siku zote

andrwjhn
Автор

Ukristo Raha sana Jamani! Asante sana Mungu najivunia kuwa Mfuasi wa Kristo

simonmaige
Автор

Ni salama rohoni mwangu yesu ukiwa na mimi nikumbuke na mimi bwana nimelia vyia kutosha nikumbuke bwana

RaelKemunto-uqwl
Автор

😢😢ni salama rohoni mwangu ....mungu nakuitaji rohoni nipee amani🥲🙏

DaizyKim-gp
Автор

❤❤here 2024, song keeps me strong in gulf .team strong pita na like

MercyKemboi-vujf
Автор

Perfect 🎉🎉
Ni salama rohoni mwangu,
Nikumbuke e bwana.
Na wakumbu wagonjwa na wenye fadhila mbalimbali miyioni mwao.
Wape usalama Bwana Mungu.

WILFREDSANAMWALA
Автор

25th September 2024, ..ni salama rohoni mwangu.. remember me oh Lord I need

Mwikalihappiness
Автор

Nakumbuka vizuri, huu wimbo nilipata kuuimba vema tena kwa kuikariri vema nikiwa gereza la wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. Nikiwa kama mfungwa, Mungu hakika u mkuu sanaa. Niko uraiani maisha yangu ni mazuri tena mwenye afya tele. Nashuhudia ukuu wa Mungu siku zote maishani mwangu.

WinniMaanga
Автор

Waow ❤❤my girl keep it up more grace n favour❤❤❤girl

TeresiahNgugi-nu