BTW Live - HAVE YOU EVER BEEN SCAMMED?

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

The video lags in first few minutes and we apologies for that but the rest of the video iko sawa, Enjoy!

celestinendinda
Автор

Hi miss chap's, thanks this is walking me on my depression journey 😢😢, be blessed

Lizz_mutheu
Автор

Our NSE loves Abel.He must mention him in every show👏Tough love

kagaiharrietkabaji
Автор

Caller: sasa si mara ya kwanza kugongwa hivo, nimegongwa online tena
Njugush: haiyaaa haulearn🤣🤣🤣🤣🤣

dennoh_phennal
Автор

Cele, unaongea poa nimelove ❤ hiyo new voice yako😂😂😂

maggyshiru-mood
Автор

i like the way Abel is always catching stray bullets

IsaacMkungi
Автор

each day you are giving me the hope of a true lover

yudcij
Автор

Aki I wish I could get to this live aki. Story story... Mimi na my hubby tulichezwa hii town tukiwa campus. That time we were dating. So mambo za Bitcoin ndio zilikua zimetokea...sema mnaija Ogah kutuosha 50k ati ndio tukule 150k. Pesa za helb zote na za fees zikapotea hivyo mahn. Till date sijawai heal. Alikua anajiita Alex Chigozie😂😂😂 I've never even forgotten that name. Mwamaume accent ni ya Ogah kabisa but profile pic ni ya mzungu kutoka Canada 😂😂😂nichekeleeni tu

kareygitau
Автор

Tuned and enjoyed the whole episode 😂😂😂😂😂😂🎉🎉

brendaokola
Автор

Sasa Mimi sijagongwa but kuna mtu ameuziwa seeds mahali 200k. Seeds yenyewe inakaa Kama mawe. Ameambiwa ni revolutionary invention to cure cancer. Na ataomoka mbaya sana. Amepewa hio goods akaambiwa akuje mkutano na CEO wa hio campuni inaunza hio mawa. 😂😂😂 mtu alijipata vichorochoro za Tao peke yake na mawe na 200k imeenda. I still laugh when I remember this. Tumetupa mawe juzi.

BettyM
Автор

Kwa umbali Cele sounds like Rev Lucy Natasha

Miss_Mosoti
Автор

I missed it yesterday juu nilikua hosi, , , but sasa let me watch it❤❤❤

KiriagoIvy
Автор

It's the coincidence 😂😂(literally happened when I'm watching this episode.. Skiza story) .. Tell me why I'm in a shop and someone walks in asking for type c cable kumbe the whole time he's eying my phone.. Nimejua vile amejiseti akisema nimpee simu yangu apigie mtu anafaa kutuma pesa aty bibi yake😂😂.. Bro ameanza kuongea vibaya vile nimesema alete simu yake tu charge na cable yangu alafu atumie simu yake kupiga then alipie.. 😂😂😂😂 😂.. Me nacheka tu because hii town, ain't no way I'm allowing anyone in my conscious mind use my phone. No.

prudencekirimi
Автор

Major Maina sauti inaeza nitoa pangoni😂😂.. Hao callers wako na sauti very nice

mercywambui
Автор

achana na sauti ya Miss Chwaps hii sauti ya video ninoma. Editor wa sauti just said let me show you my telent🤣🤣

dav_artlifephotography
Автор

😂😂😂😂naisha Leo...hii imeweza sanaa💯💯 congratulations guys

derique_
Автор

Pole Kwa mafua mamaa.. you'll be alright Cele😂

danielngeno
Автор

Kama hujawai coniwa na hawa waste wanakuanga pale kamukunji on your way to gikomba wa kuchora tattoo na eyebrows hakuna kitu unajua 😢😢😢😭😭😭narudi baadae kuwapea story 😢..BUT USIWAI FUATA HAO WATU ETY UNAENDA KUCHORWA!!!

AnnKihumba-kg
Автор

Am I the only one who is getting frustrated by the video dragging after the sound 😢😩😩😩😩😵‍💫..and still stack here watching and laughing 😆 i was really looking forward for this btw ❤❤❤

Nymo
Автор

Jina ya ‏‪yake ibaki N.S.E ama njungush izi zingine achana nazo 😊

peternjoroge