MAMA WA KAMBO WENYE TABIA ZA KUVURUGA FAMILIA ULIYOIKUTA ACHENI TABIA HIYO = DR KUMBUKA JOGOO WA MC

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Am from kenya na nakufatilia sana kumbuka...natamani siku moja uje kenya uongeleshe watu kwa one of the radio

rosemakatia
Автор

Dr kumbuka umesema kweli kabisa yani kunywa soda nalipa mm 👌

dottohamisi
Автор

dk kumbuka umesema kweli. asante sana mungu akubariki. wanapomaliza mali wanakimbia.

fadhilasalim
Автор

Msg sent kwa mama wa kambo wenye shepu km godoro la sufi😂😂😂

khadijaamour
Автор

Kumbuka hayo usemayo! Ujumbe umewafikia wamama wa kambo wenye roho mbaya!

mozasaid
Автор

Daah Kwan ulituona katuuzia Shamba loote😭

khdigahk
Автор

Hahahahahahahhahahahahahaha mbavu zanguuu

catherinedavis