Alichokisema DULLY SYKES Kwenye MAZISHI Ya BABA MZAZI WA ALIKIBA Mzee SALEH KIBA!

preview_player
Показать описание
Alichokisema DULLY SYKES Kwenye MAZISHI Ya BABA MZAZI WA ALIKIBA Mzee SALEH KIBA!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole sana king kiba bia abudkiba mungu awape subila kwa hill, ampungzie adhabu ya kabuli

sheysarahnjeno
Автор

Innalilahi wainna ilayhi rajiun.binaadamu tunatakiwa tuombe toba jamani kifo hakikombali tujitayarishi na kuonana na mola wetu

mwatumsaidi
Автор

Innalilahi wainnailahi rajiun mungu ilaze pema Peponi roho yamarehemu

kingflavour
Автор

pole kwetu Sote Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa jina LA Bwana lihimidiwe

afandebrighttz
Автор

pole sana bro ali mwenyezi mungu awe pamoja nawe kwenye kipindi hiki kigumu kwako

collegedropout
Автор

Eti alikuwa anausubiri msiba ndani.. Ina lilah waina ilaih rajiun

zuweinaalhabsya
Автор

Jaman kuen Makin katika interview mbona munamsema hapa mukumbuke alikua anaulizwa swal la kuusu baba Ally na Ally KIBA monyewe Sasa munapenda awataje wote waliekaenda kumzika father wake kaeni Makin kusikiliza maswal ya maojiano mungeli mlaumu kuusu tattoo sawa kwann aiyonyeshe sehem yamatatizo ikiwemo msiban

TALLUBOY
Автор

Yani hawa wasanii midomo tu wengi wa islam ila ikifika kwenye mambo ya dini balaaa

bjzee
Автор

mie jamani sielewi umuhimu. wa TATTOO NAOMBA KUULIZA NIPENI MAJIBU. HIVI NI KITU CHA MAANA SANA AU VIP?
nisaidieni nielewe

naomilemi
Автор

Sasa tatuu unaonyesha ya nini?
Inamaana waliokuzikia babaako ndio nao utawazikia wakwao?
Chunga mdomo huo wewe ni mali ya udongo tuu!!!

ashaally
Автор

Tanzania R.I P. Kiswahili. Nilikua na subiria msiba jamani kweli? Si unge sema tu jeneza

bjzee
Автор

Mshaanza kutafuta kiki watangazaji mmh muacheni apumzike kwa amani.

wemakalam
Автор

hahaha afagilie kabur wap umesikia kabur linafagiliwa

rashidihamis
Автор

sasa siugevaa supaget sijui vest sijui nn ilitu tuone hio tatu

فيصلفرج-ره