SABAYA AAGIZA WAMILIKI WA MABASI WAKAMATWE KISA KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI

preview_player
Показать описание
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameagiza wamiliki wawili wa mabasi kukamatwa kwa tuhuma za kuunda genge la wahalifu kwa lengo lakuhujumu miundombinu ya reli ili kuathiri usafiri wa treni kati ya Dar,Moshi hadi Arusha
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

... kwanza hayo mabasi yoooote yataifishwe mara moja na wawekwe ndani kwa muda mrefu sana ili iwe onyo kali kwa wale wote watakaojaribu kutuharibia maendeleo yetu... 🇹🇿 💯💯

kebo
Автор

Kamata weka ndani maana hawajui tupo kwenye dunia gani kwa sasa tunataka kilimanjaro yenye maendeleo ndo maana tunataka uongozi wa vijana zaidi maana wana intelejinsia nzuri
Viva bro Ole sabaya
Natamani uwe RC wa kilimanjaro sio DC hai pekee

godlovemrosso
Автор

inaniuma Sana hivi tumefika hatua hi yani unahatarisha maisha ya watanzania wengine kwa maslah binafs

rahmaomary
Автор

Safi sana DC .mbn hawasomi alama za nyakati. Utawala wa hujuma wa zamani sio wa sasa. Hao kamata weka ndani maisha.

joeljames
Автор

Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

ababuumwanazanzibar
Автор

Aya ni maisha sasa ya Watanzania! Inauma sana. Muongo ana nafasi kubwa sana ya kusikilizwa. Kwa iyo viongozi wetu sasa kazi yao kubwa ni kuwaharibia wafanyabiashara, biashara zao walizozitengeneza kwa muda mrefu sana tena kwa shida sana! Tumeona Makonda alivyowaharibia watu wajina na biashara zao kwa kuropoka tu kama mwehu na mwisho wake hakuna kinachoendelea. Leo hii wema wao wa kuwasafirisha watu usiku na mchana ni kazi bure, na muda wao wa kutumika umeisha kwa iyo wana toswa wazima wazima. Hii ni kazi ya kitaalam sana. Na wataalam wapo. Cha ajabu mtaalam anatumwa na mwanasiasa eti fulani ni muhalifu! Inamaana uyu mwanasiasa ana kijeshi chake cha upelelezi? Hii hali inawapa ugumu sana Polisi kwani wananchi tumeamisishwa hao ni wahalifu. Je wanaweza kuwatendea haki? Zingatia kila tajiri ana maadui wengi kuliko marafiki! Wanasiasa acheni kuwahaaribia watu maisha yao. Na sisi watanzania tuache kuwaamini kwa kila kitu wakisemacho viongozi wetu, kama ni watakatifu saana, hawa ni watu tu, wapo watasifa, wenye visasi

saidh.kipande
Автор

Huyu ni usalama wa Taifa yani yupo vzur sana kiutendaji ni mfuatiliaji mzuri na mpambanaji na ni jasiri sana....Ma DC wengi ni waoga na hawajiamin

angelinasimchimba
Автор

Kufungulia maji bwawa la mtera. Ili muuze majenereta , kuua reri. Ili mfanye biashara ya marori na mabasi. Ilikua ni kwa zama zilizo pita So kwa zama hizi zama za JPM. Ata wanyosha

gwamakamartin
Автор

Yaani watu wengine!hopeless kabisa, kwahiyo wanataka waue watu baadae kwa kusababisha ajali?jamani watu tunaongezeka, hiyo reli siyo ya sisi peke yetu itaenda mpaka miaka 50, na watoto, wajukuu watatumia, hivi mnataka maendeleo ya namna gani jamani, usafiri uko Wa aina nyingi mabasi, ndege, reli, wengine wana magari binafsi, ni maamuzi ya mtu, asafiri na usafiri upi kama basi lako abiria hawapandi ujue ubunifu umekuacha, tafuta biashara nyingine, biashara ya basi imekushinda na usituharibie reli, mbona mabasi hayohayo huwa tunachagua nisafiri na kampuni gani, jamani tunatia aibu, sasa wanataka maendeleo ya namna gani?Jamani watanzania tubadilike!!!

ellysilwani
Автор

Amen Amen. Tutawashitaki kwa Mungu kama yule mzungu aliekua akikamata ndege zetu . waache mchezo na taifa letu. Amen.

amaninaupendo.
Автор

Mimi ningeshauri kambi ya jeshi zianzishwe ambazo zitakuwa zinafanya patrol kwenye miradi yetu yote kuanzia reli hii na ya SGR na miradi mingine yote.

grantmsengi
Автор

Mh.Rais amkumbuke huyu kijana ampe u RC kabisa, he is the best of the best DC

angelinasimchimba
Автор

Hi ni hatari sana kwa kweli. Ni mauaji ikiwa treni itaanguka.

veronicalaiser
Автор

Hao wamiliki wa Magari wanataka waendelee kupata mafanikio wao Walizoea sana, Naikumbuka ajali mbaya sana iliyotokea dodoma ikauwa watu wengi sana na Rafiki yangu kipenzi Watu waling'oa mataruma ya reli, Kwa kweli hao watu sio wa kuwaonea huruma

allyjumannemaporo
Автор

sabaya ana cheni kubwa sana yawatu walio muweka jela hana atia ila wamemtia hatiani

manasekabusha
Автор

nchi zote zilizoendelea duniani zinatumia usafiri wa reli, kuna wapuuzi wanataka kuturudisha nyuma, Magu tupo nyuma yako kwa Sala na Maombi na Intelligence juu

diffrentperspective-zt
Автор

uhujumu uchumi ndio kesi sahihi za kuwapa hao watu wa mabasi, wahujumu mno, wafabiashara wanataka kumiliki hii nchi, sekta binafsi

diffrentperspective-zt
Автор

Tulwatarajia sana wafanyabiashara wa mabasi, magari ya mizigo pamoja na wwatu wachache wa chadema.
Tulikuwa kabisa kuwa kunawatu wana fikiria namna ya kuhujum ili tren I sifanye Kazi Kabisa.hata wale wanaotaka kumiliki nyumbani za Reri na walioshiriki kuuza mali za shirika hilo

immamlowe
Автор

Haowajamaa watakuwa wamejichanganya sana kwako sabaya hapon mtu hapo

ramadhanisuru
Автор

Hawafai kuitwa wafanyibiashara ni wauwaji ajali ikitokea watu wengi watakufa

hassanhusseinally