filmov
tv
DUUH..!! Rekodi Hii ya Yanga ni Balaa | Zaidi ya Barcelona | Mechi 42 Bila Kufungwa
Показать описание
DUUH..!! Rekodi Hii ya Yanga ni Balaa | Zaidi ya Barcelona | Mechi 42 Bila Kufungwa
leo tumekusogezea rekodi ambayo inashikiliwa na club ya yanga mpaka hivi sasa rekodi hyoo inahusu kutokupoteza kwao mchezo wowote ule hadi kufkia hiv sasa ikiwa ni takribani mechi 46 ambazo yanga imeshuka dimbani bila kupoteza mchezo wowote ule,, hyoo ni moja kati ya rekodi ambazo yanga inazo hadi hivi sasaa,,lakini tukumbuke kuwa club hyoo inanolewa na kocha ambaye anajulikana kama mohamed nasredine nabi