NADIA NAKAI NDIO MKE MTARAJIWA wa DIAMOND? AFUNGUKA Kuhusu MAHUSIANO YAO..

preview_player
Показать описание
NADIA NAKAI NDIO MKE MTARAJIWA wa DIAMOND? AFUNGUKA Kuhusu MAHUSIANO YAO..

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

DIAMOND AMESHAFUNGA NDOA JUZI NA ZUHURA KOPA, NYIE SUBIRINI MTATANGAZIWA.

isaachayes
Автор

Kama damond amedhamiria kuowa, namshauri aende kijijini atafute mwanamke asiyekuwa msanii na asiyekuwa na umarufu wowote ule hapo atadumu na hiyo ndoa, Kama ataowa mwanamke msanii mwenzake hiyo ndoa itakuwa ya miezi mitatu na kusambaratika.

ishanshulinus
Автор

its obvious u didnt watch the show diamond said no and ignored her for the bosslady and she even realised she can a reason she fought Zari

BeingHuman
Автор

Hana Cha Mke Mtarajiwa. Kaskize ile nyimbo yao ya BADO SANA. Humo ndio mna Jawabu. Naona mnajisubua tu, , , , na yeye

aaasa
Автор

Balaamuislam mzima uwezi fanya maamuzi ukaoa motowazinaa nimbaya sana kakaDMnd

aminaabdalla
Автор

Mke ana Sifa zake. Sio kila mwanamke anaweza kuwa mke... Mki muangalia huyu anaweza kuwa mke????
Huyu labda awe mzazi mwenza wa mtu...
Kuwa mke wa mtu msidhani ni rahic rahic tu.
Wadada maarufu wa hapa kwetu ndoa zina washinda, atakuwa huyu 😂😂

andrewkaswagula
Автор

Mke kabisa kwa Diamond ni Tanasha Donna! Time will tell.

shidashidam.
Автор

ila simbaa 🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂uja acha mtu salama apa

shedracksteven
Автор

Diamond ajaluusiwa kuoa uyu na kamwe awezi kuoa ni michezo tu ya kuigiza mnatuletea kiki za ovyo ovyo kila kukicha mala zuchu Sasa mmeanza na uyo sjui Nadia

robinhomesuza
Автор

Father Abraham na Light skin🤭 nilikua nashangaa Zuchu amemkufia but sio type ya father Abraham. At least atafundishwa English round hii

mamalao
Автор

Hivi diamond ataongea kiingereza na huyu mdada mhh mbn kazi maana diamond kiingereza ndio hivo tena mhhhh

munirahmed
Автор

Huyo mondi mwenyewe hata simkubali kabisa kama angekuwa kiba ningesema jambo.

mfalmesimba
Автор

Ao za Netflix ndo mnaita mahusiyano


Eh iyo bongo nayo kiki ni kila mahali

deomfariji
Автор

No kiingereza hamielewi...? Amesema wapi anafunga ndoa na mdomo kubwa?

jesuitredbrigades
Автор

Bado ajamzidi mama t na mobeto wakawaida tuu Ila wabongo mnajua kukuzaa

sarahhusseni
Автор

Big lie 🤣🤣 huyu hata Kwa dawa Hawezi oleka na Diamond

rebeccaasiyo
Автор

I m glad sio mswahili basi .. atleast she is south african bang bang 😀

angelicque_officiall
Автор

Mondi ataweza kuoongea nae uyo au ndo anaajili mkalimani namm nichukue nafas

frankelias
Автор

Wanawake km hawa kucha km hz kila siku lzm umeze vile vidonge kwa uchafu asa atajisafishaje

abiboseleman
Автор

Mnatuchosha tu na huyo daidomo wenu simseme habar zingine

isackmaturo