Arise Tanzania - Sijaona Kama Wewe

preview_player
Показать описание
This video was taken on the 18th of February at KLPT BETHLEHEM CHURCH (BOKO) during the rehearsals of the Arise Tanzania Worship Service which will be on the 6th April 2021 at Mbezi Garden Hotel (VIP HALL)
This was one of Arise Tanzania Worship Team Swahili songs that we were led by The Holy Spirit to record and publish it.
It says:
Sijaona kama wewe ( I have never seen anyone like you)!

Credits:
Video Captured and Edited by Excellent Digital Media
Directed by: Mozie Sheky
Audio Production : Chosen Records
( Audio Recording : Michael Manoni)
(Audio Mixing and Mastering : Samuel Mboya)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

*Lyrics*

Bwana nani kama wewe, Yesu mtenda maajabu
Wana wako tunastaajabu, kwa yale uyatendayo

Sijaona
Kama wewe Mungu wetu, Mwaminifu mtoshelevu
Kama wewe Mfalme Mwema, Mungu wa milele

_Bridge_

Hata waseme wewe sio Mungu wa kweli
Sisi tunakiri kwamba wewe Mungu wa kweli
Usie na mwisho wala mwanzo tunakusifu
Yahweh Yahweh

Sijaona
Kama wewe Mungu wetu, Mwaminifu mtoshelevu
Kama wewe Mfalme Mwema, Mungu wa milele


Kama wewe, kama wewe
Sijaona sijaona

AriseTzLetsWorship
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥 watching all the way from 🇬🇭 Mungu akubariki!

jasonasare
Автор

Nice Song...My Daughter's Favorite Song

julianaphanuel
Автор

Kama weeeewe Mungu wa milele mwaminifu mtoshelevu.
Kama weeeeweeee mfalme mwema

Aggiefeb
Автор

I have just killed my replay button oo💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

elizabethkazibure
Автор

Cjaona Kama wewe, mwaminifu, toshelevu hakika in love with this song

josephchimba
Автор

🔥🔥🔥🔥Mungu azidi kuwatumia arise!!
We are so much blessed with this song

enockgodson
Автор

Kama wewe mfalme wetu hakuna 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

noahmisholi
Автор

The Higher zone...!!kiruuu Everybody join arise for the Lord!!!!Jesus is Lifted High!!

perisleguna
Автор

Hata waseme wewe sio Mungu wa kweli Sisi tunakili kuwa wewe Mungu wakweli usiye na mwisho Wala mwanzo tunakusifu .🙌🙌🙌.God bless you my friend Sam Mboya and The Team Wooow wooow

BarakaWaya
Автор

Huuu mwendo huku mwishooo weka mbali na watoto🔥🔥🔥🔥

biggyronnymusic
Автор

I love how Tanzanians have learned how to record live performances soo clearly.. Kindly teach us Kenyan friends.

gideongikeno
Автор

Natuzidi kwenda juu katika Jina la Yesu

mtumesam
Автор

Hata waseme wewe sio Mungu wa Sichoki kuusikilizaaaa tunaomba nyimbo zaidi za utukufu namna hiiii👍

wycliffzedeck
Автор

🔥🔥🔥 Bravo... Nyimbo kali sana... Utukufu kwa Sir God 🔥🔥🔥

shekywasheky
Автор

Tunabarikiwa sana na hii huduma.Keep it up Arise Tanzania🤗

elishamwakapoja
Автор

blessed are you who spread His Word, , , may God use you however He wishes

esthergesogwe
Автор

Amen. Hakuna kama yeye Mungu wetu. Amazing song

VictorNTWorshipKeys
Автор

Hakika Mungu ni mwaminifu, Mungu akubariki sana Pastor Sam

bartholomayochenga
Автор

Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Wimbo huu unatubariki . Mungu akutumie zaid.
Powerful song🙏

esthermwaisoloka