RAIS SAMIA AZINDUA NA KUKABIDHI NDEGE VITA NA MABASI KWA JWTZ

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nchi imepoa kabisa eeeh mungu bakisha hii hali ibakie hivi milele

allymwilu
Автор

Jeshi imara na lenye nguvu afrika mashariki kwa sasa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️🫡✌️

mouhseinhousseih
Автор

Unatoka job unakunja kishoka kwenye yutong Safi

leonnyntandu
Автор

Mr Ndanu
Congratulations madam President 👏👏👏

maxmindanu
Автор

Mibas ya nini kwa ajili ya wafungwa au hizo pesa Bora usomeshe watoto maskin au ujenge kiwanda hao wajeda wajifunze kutengeneza magar

JosephSadala-cw
Автор

Hongereni kwa vitaa bora ila msisahau kwenda lran kuchukua dron zile ni hatari sana.

omarybakunda
Автор

Hapo bongo ndo nachoka badala ya kuwezesha nyumbu watengeneze magar na kuboresha kiwanda chao, hatuwez kuwa kuwa na jeshi imara kama kila k2 tunaagiza

MailesSezero-lc
Автор

Hongera Mama
Tunakupenda
Naamini siku za mbeleni tutafika mbali zaidi ya hapa. God bless our lovely country Tanzania. Tuendelee kufanya kazi, kuombea Nchi yetu na viongozi wetu. Kila mmoja katika nafasi yake naafanye kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.

christopherchristopher
Автор

It’s funny army can’t produce their own buses 😂😂😂

worldtechlab
Автор

Hakuna biashara Kwa mrusi akapate silaha mzito mzito cyo haya magari ya kubebea wafungwa

athumaniamani
Автор

Hivi Visha pitwa na wakati inatakiwa serikali iwekeze kwa mizinga ya kisasa na pia vifaru na ndege za kivita za kisasa

madsonmmbwanga
Автор

Nadhani 2ngezingua, VIFARU VYAKISASA, DRON, MAKOMBORA YA KISASA, NDEGE ZA KISASA KAMA ZA USA, AU hata hivi alivofanya hajakosea sañaaaa.

conganyoyo
Автор

Vichangamshwe kidogo bhasi maana vijana tunaelekea kudata na maisha nawaza wakibaki wazee peke yao 2050 sijui kutakuwaje tuombe hata friend mech na Somalia. 😢 I love my country Tanzania ❤

TonnleeLwisgon-cm
Автор

jeshi mnashindwa kutengeneza hata mabasi lweli😂😂😂

ajsmainde
Автор

Yutong Bus??!
Wachina na vitu vyao fake wamefanikiwa kuingia mpaka kwenye Jeshi letu tunaloliamini.
Mapendekezo yangu
1. Jeshi litengeneze mabasi Lenyewe
2. au liumie tu kwa kununua Gari za uhakika kama Scania, Ashoki, Chuma za Kirusi, Chuma za mjerumani.

KilitekAfrica
Автор

MAGARI YA MUDA MFUPI HAYA SASA C BORA SCANIA KULIKO HII MIFUPA

husseinkaoneka
Автор

hakika raisi wasas nivibok allah awpe miakamengine

Hafidhimzeeawesu
Автор

Mtajiokoa vp mkshambuliwa na iyo mibas yen

aroncosmas
Автор

Kumbe ela zipo katika nchi yetu kwanini usitoa ada mashureni watoto wasome kwa wingi ?

LilyKoba-wxpj