Part 2: Msikie Harmorapa Akiwachana WCB, Adai Anawazidi kwa Mashabiki, Aboronga Kiingereza

preview_player
Показать описание
#Harmorapa #Kiboko ya #Mabishoo, amefanya mahojiano na #Loveness #Love #Diva wa #Clouds #FM. Katika mwendelezo wa mahojiano hayo, #Harmorapa amezungumza mambo mbalimbali, huku akiboronga #Kiingereza.
#Harmorapa amewachana #WCB kwamba hawezi kufanya #Collabo na wasanii kutoka #WCB kwa sababu hawana cha kumuongezea, akachana pia kwamba yeye ana mashabiki wengi kuliko #WCB.
#Kubwa lililowafurahisha wengi, ni jinsi alivyokuwa akibabaika anapoulizwa maswali ya #kiingereza na amekiri kwamba ni kweli aliwahi kusema yeye ni stron woman lakini alichapia kwa bahati mbaya.
#harmorapa amefungukia mambo mbalimbali ya uhusiano wake wa kimapenzi ambapo amesema hajawahi kupenda kwa dhati kutoka ndani ya moyo wake.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

you do well... i appreciate your songs

nassirmohamed
Автор

Big up hamorapa there are so many artist in tanzania they don't know English so keep on moving everything believe in God

wemakalam
Автор

Nyie mnamzidi sana Harmorapa mnampeleka speed.Hata wasanii wengine hamkuwapeleka hivi.Labda mumpe kipindi cha comedy hapo kwenu atafaa sana

badboy
Автор

Maskini ya mungu ...nakuombea mungu akusaidie manake daaah jina kubwa lakn mtu mwenyew ni mtupu kabsa bt jst keep on praying u will go far

sarahlithoqueen
Автор

ebwana uyuu ni kibookooo loooh uyu ni Comedian wa miaka 50'000 keep it up Mwanangu Rappa ipo siku utang'aaa

friesinger
Автор

not important English today very good it's good work

wambiliwamachalili
Автор

harmo dah umetisha bora ufanye comedian

aaronahmed
Автор

Lol this is life..broh harmonapa everything is to trying ok..don't shy if u wanna know something broh..I support u for everything keep go on right u will get everything wherever u want ..have good language lol....

songoloyunusu
Автор

kwa kweli nimecheka badae nikamwonea huruma uyo msanii. akibadilika akawa anazungumza ukweli nadhani watu wengi watampenda zaidi na kumpa support

stediusbernado
Автор

harmorapa has his own reasons to talk abt WCB just the way he has talked....so i fully suport hum

terence_on_the_track
Автор

hamo rapa hapo kwa english umeniua budaaa....uko juu...unawakilisha TZ

ochiengjohn
Автор

mtoto unasifa yakijinga unazidi Fanya muziki acha sifa mapema sana

yohanazacharia
Автор

So badly when we see someone need to learn about something and most of us we take it as a comedy, , my self I real appreciate this guy.. @harmorapatz1 Keep on moving broo.

passionboy
Автор

Global TV, interview yenu ilikuwa kumzalisha Harmorapa, tu.

Watema
Автор

😀😀😀😀😉kweli kuwa huyaone nili jua magorofa kumbe mambo yenyewe ndyo haya kaka muongo sana eeeh

petronilasteven
Автор

nakushauri kijana tafuta mwalimu haraka wa kiingereza manake hapo ni bado kwa maana halisi ya bado.
halafu tatizo kila kinacho ulizwa unajibu kitu ambacho ungefanya komedy ungefaa zaidi kuliko kuimba.

godshemjawa
Автор

Ntaview xa ubuzi kwani Diamond alikua anajua english b4 wapatane na zari ? presenters wenyewe wanashrup !! na wangapi washasoma na hawajamfikia hermo masomo ikikwama ujanja halizi ndio muhimu big up hermo

lifestarkoech
Автор

Harmorapa has a long way to go in terms of how to do interviews n dressing. His manager is smarter than him, assuming he's the guy I've seen sitting there on the bench.He should know that he's letting his business (Harmorapa)down.Also he should learn not diss someone live on an interview, he might need them one day since he's still an upcoming artist.He should know how to humble himself.Otherwise I wish him the best in his music talent.

yvonnemusimbi
Автор

Kingeleza sio lugha yako, strong woman

D-Man.B-Free
Автор

loveness cyo vzur ikiwa unafaham hajui kingereza na unamwongelesha ili aboronge ili mpate  kchwa cha habari, ,,,cyo vzuri cjapenda huyo ni binadam kama wewe, ,,,usimdhalilishe kiasi hicho, ,,cjapenda kabisa, ,,,cjui upoje we dada nataman hta unaboa unajua

saidmsomaly