WOLPER ATOA YA MOYONI KUACHANA NA RICH MITINDO NIMECHOKA HAYA MAHUSIANO/ MANGE KIMAMBI

preview_player
Показать описание
WOLPER ATOA YA MOYONI KUACHANA NA RICH MITINDO NIMECHOKA HAYA MAHUSIANO/ MANGE KIMAMBI #JUKLINNE #wolper #RICHMITINDO #RICHIMITINDONAJACKLINEWOLPER #mangekimambi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wolper bila kupepesa macho huwa nakupenda sana we ni mke wa ndoa ila unahekima sana we sio mropokaji Mungu atakutia nguvu na nakuombea siku moja uishi na amani ktk ndoa yako

fatmaismail
Автор

Wanaozipambania ndoa Mungu awatie nguvu, hyo vita ni zaidi ya WW🙌

farajaishebabi
Автор

Wolper nimekupenda sana kwa majibu yako ya hekima, wewe kweli ni Legendary upo vizuri sana, kuanzia roho, uzuri,hekima, hata unapoongea umetulia, huna papara, even movie zako zote upo hivyo aunty. Hongera sana.23.03.24.

mariamfritsi
Автор

Pole sana da wolper Mungu Awe nawewe zaidi nakupenda unavo nyooka kwenye maelezo!!

hawababy
Автор

Bora hata wewe unamsimamo na ndoa yako, Siku zote chui hawezi kuwa Kondoa, chui atabaki chui tu, Songs Mbele Mumeo bado mdogo sanaaa, Shukuru Mungu umepata watoto,

HannanSomaiyah-wpny
Автор

Umeongea ukweri Mungu akusaidie, , Usijipe mawazo kisa baba mzima uyo Mwishowe uache watoto yatima piga kazi Mama p, nimekupenda Buree, Lea watoto achana na viruka njia❤❤❤

ElianaBashweka
Автор

Pole sana dada wolper ukishalia kwel Huwa machoz yanakauka ni kwel kabisa mungu akusimamie nakupenda

AishaMsuya-vdlb
Автор

Nmekupenda umeongea vizuri umenyooka hujataka kumpamba uongo Peace of mind is everything

mrambadiana
Автор

Haya mateso ya ndoa ni hatari kila familia, tuombe tu Mungu atulinde wanawake wote

ednakatunzi
Автор

Kuingea inaponya dear❤ Mungu ni.mwema.mtakuwa sawa polee

rosehaule
Автор

Hizi ndoa hizi Mungu ndio anajua maumivu tunayoyapitia kwenye hizi ndoa na hawa wanaume 🙌

RestCharse
Автор

Pole mwaya wanaume ndo mambo yao uaminifu baadhi yao ni ndoto, mwombe Mungu akipe hekima usiseme mengi kwenye media, ndo unazidi kumpoteza mapeturi watamdaka❤

justinampanga
Автор

Anajikaza sana anatamai hata kulia pole mam mungu akupe nguv

salmakasim
Автор

Pole Mum kila ndoa ina changamoto. Tumuombe Mungu atupe uzima tulee watoto

EdnaMbowe
Автор

Nakupenda sana na nakukubali sana dadangu big up

syliviasimon
Автор

Mungu akutunze sana Wolper. Unajibu vizuri mno.

tumainimwaifunga
Автор

Wolper polee sanaa ila kuna sisi wanawake tuwe tunajiombea sanaa na kujitafakari sanaa coz na mama yangu mdogo n mzuri sana ukimuona kim uyu apa but kipindi yuko na miaka ya 20-28 jmn alikuwa anachukua wanaume wenye hela pengne anajua na hajui n waume za watu ila anafanya kusudi saiv kaolewa mume wake kuna mtu amemshika uko analia kila siku wakat yeye alikuwa anasema uyo mke wake namkomoa anajiskia sana yuko ivi yuko vile mama wa watu anampigia cm na kulia aachane na mume wake anamjib vby saiv yanamrudia analia na kuona anaonewa ila malipo yanakuwa hapahapa duniani tujutafakari njia zetu watoto wa kike

chariedecute
Автор

Nikwer kabisa dada wolper mungu azidi kutulinda wanawake tunapitia magumu sana kwenye ndoa kiukwer

JoyceJulius-rg
Автор

Daaah kweli mchaga mwenzangu unahekima Sana ubarikiwe my love wolper

FridaMkenda
Автор

Pole Sana nashukuru kwa hekima ulio nayo mungu akubariki sama

ernestmavoa